ukimuona mtu amevaa nguo over size ujue ndio husninyo. Ole wako ushindwe kunitambua. Lol.Hahahaha lol! We subiri tu hilo party la JF la kufa mtu 🙂 utamuona tu BaK hata hapotei hahahahah lol! Ukishindwa kunitambua basi nitakufuata 🙂 ili nijitambulishe rasmi. Husninyo mie ndiye BaK hahahah lol!YouTube - ‪Britney Spears - Till The World Ends‬‏
ukimuona mtu amevaa nguo over size ujue ndio husninyo. Ole wako ushindwe kunitambua. Lol.
over size sipendi kubanwa banwa.. Hahaha!Mie nitakutambua tu usiwe na wasi 🙂 kwanini oversize!? hahahahah lol!
over size sipendi kubanwa banwa.. Hahaha!
maralia sugu angechezea kichapo sana kutoka kwa wanaharakati
Mkuu it's obvious hujawahi jadili mada na huyu jamaa ili umuelimishe,unaweza ukabomoa likibodi kwa hasira maana jamaa huwa haelewi,ndo maana jamaa hapo anakwambia huyu ungekuta kachezea kichapo zamani sana,tehMimi nilidhani mngemuweka chini na kumuelimisha sera za chadema na kumjibu maswali yake yote paleple ... sidhani kumkamata na kumpiga itakuwa sahihi mtaonekana kama kundi la wahuni...anyways iam sure hayo ni mawzo yako peke yako si ya wanaojiita wanaharakati wote
Kuna mmoja hapa ni shoga nitamuona kwa mavazi yake na kuongea kwake kwa vidole juu!
Unamzungumzia Malaria sugu sio??
Mm ningependa kuwaona how do they look pairs hizi za wanaJF: Malaria sugu na Chloroquine/Asprin, Kipindupindu na Sulphadoxine. Nahisi kuna jambo linawaunganisha medicallyMalaria sugu yeye huvaa suruali fupi fupi na kikuku mguu wa kushoto!
Unamzungumzia Malaria sugu sio??