Image search inafanyika vipi?

Image search inafanyika vipi?

Mfano mtu kakutumia picha watsap na picha ya celebrity lakini humjui..unataka Ku search unaanzaje?
Tumia Google Lens boss, ukiingia kwenye google utaona ki icon cha kamera mbele ya icon ya mic. Uki click hapo utapata option ya ku search kwa picha either kwa kupiga picha kwa camera yako au kwa kuchagua picha iliyo kwenye gallery yako.

Mfano hapo chini.
20211007_174430.jpg
Screenshot_20211007-173930_Google.jpg
 
Habari ya majukum mkuu, kwema?

Hii google wanayo, una click au kushikilia kwenye picha kwa muda, kwenye hizo option itakupa "search google for this image" ukibonyeza itajaribu kutafuta picha kama hiyo au zinazokaribiana na kukupa maelezo yake. Lakini lazima picha hiyo iwe tayari ipo kwenye mtandao lakini.

Ila kuna App maalum za kuscan image na kuhusisha na wahusika hasa kwa wenzetu walioendelea ambao taarifa zao nyingi zipo mtandaoni na kwenye mifumo rasmi.


Hiyo app inaitwaje?
 
Na mimi nadandia lift hapahapa, ni program gani kama nyimbo inapigwa redion unaweza kutumia simu yako kujuwa ni nyimbo ya nani?
Rahisi sana kutumia bro.
itakupatia nyimbo ambazo ziko mtandaoni tu.

ukisikia wimbo kokote iwe redioni ama kwenye simu ya mtu, ama wimbo unachezwa mahala flani, washa data kisha open hii app kisha tap to shazam

Screenshot_20211007-212027.png
 
Back
Top Bottom