Tafadhali naomba mwenye hiyo programu anisaidie,
zaidi tukutane Pm.
Natanguliza shukrani wadau.
kukonvet passport kwa ajili kufanya online registration ya CSEE ,
Ahsante sana mkuu ngoja nifanyie kazi then ntarejesha feedback
haha... Mkuu unajua umuhimu wa hiyo xnview. Unaselect all photos. Unaset resolution (kama size ni ya passport) kisha unafanya conversion. Sasa sijui wewe ulitaka software ipi.no thank you.