King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,287
- 98,898
Ebwana jana nilisikia jingle flan hv kuhusu promo ya fiesta ndani yake nikasikia maneno ya rose mwalusamba akitamka im very glad im very sorry,kama kuna mtu wa klauz naomba mtujuze conexn ya rose mwalusamba na fiesta au atakuwepo kwenye show ya fiesta?