I'm too old to be dumped

Hongera mkuu
 
Namimi naomba nikuone ili kujihakikishia ukigagula wako.. hahaaa
 
Nataka niseme chochote juu ya maneno yako haya,unatakiwa kujua tofauti kati ya binti kulelewa katika malezi ya kidini na binti kuwa na dini.

Sisi huwa tunaambiwa tuoe binti mwenye dini na sio binti alie lelewa katika malezi ya dini. Hapa kuna tofauti kubwa sana.

Binti mwenye dini,ile dini ndio yake ndio huwa kinga,humfanya ajue nani ana faa na nani hafai. Bibie mabinti wenye dini wako wengi sana na wazuri mno na wanaolewa sanaa.

Ukiona binti mrembo na amelelewa katika malezi ya dini anachezewa ujue huyo hana dini na kuna sehemu anakosea. Asili haiongopi wala haibadiliki. Dini ni elimu na kuifanyia kazi elimu hiyo.

Ni hayo tu .....
 

Na wote tuseme....

AAAMEEEN!!!
 
bonge moja la point aisee
 
tulilie bahati uzuri unakoma hata bibi alikuwa binti....ndoa ni bahati.
 
tulilie bahati uzuri unakoma hata bibi alikuwa binti....ndoa ni bahati.
Jiheshimu tu dada mengine mbwembwe, mwanaume haridhishwi kwa styles za ngono bali tabia njema ndo dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…