I'm The Best Cheater Kuz Nafanya Hivi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I'm The Best Cheater Kuz Nafanya Hivi.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gbollin, Mar 30, 2011.

 1. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  • Nakuwa Karibu na Mpenzi wangu Kimwili na kiakili.
  • Na-act kama mshauri mkubwa na Namtia matumaini
  • Natoka nae out mara mbili within a week days na wkend tunakuwa pamoja.
  • Kila wkend Shoping lazima.
  • Nina simu tatu kati ya hizo ni moja tu ndio nitumiayo nikiwa na nimpendae.
  • Najenga mahusiano mazuri na rafiki zake pamoja na wazazi wake.
  • Nimehakikisha kazini kwangu hatambuliki hata kidogo.
  • Nikitaka kuchakachua vimada naenda nje kidogo ya Jiji la bongo.
  • Nampitia kila siku kazini kwake wakati wa kurudi nyumbani.
  • Nimehakikisha kazini kwake natambulika mpaka kwa bosi wake.
  • Nimejenga mazingira mazuri yanayoniwezesha kupata taarifa zake.
  • Nimehakikisha naongea nae kwa simu kwa masaa 5 kwa siku.
  • Nimehakikisha kuwa rafiki zangu wa karibu sana hawamjui.
  • Nimehakikisha anatembelea nyumbani kwa wiki mara 4.
  Nimeenda Kwa Babu Kupata Kikombe Ili Nisipate Magonjwa sugu, Kwani zinaa inaua.

  MY TAKE: CHEATING IS A GAME SOMETIMES YOU WON, SOMETIMES YOU LOOSE.
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Huwa unaangalia kipindi cha cheaters? Huwa nakipenda sana naona na wewe bado siku yako
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180

  Jomba rekebisha hapo kwenye blue, inaharibu ujumbe mzuri!
   
 4. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Naangalia Sana etv Ni kipindi kizuri sana na kule ndiko nilikoiba haya maujuzi Dena.
   
 5. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mkuu PJ, Nimerekebisha, Hapo vipi?
   
 6. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hicho kipindi kitakapo kuja bongo wengi wataumbuka
   
 7. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Itakuwa balaa maana hakutakuwa na investigation day 12 siku mbili tu tosha
   
 8. k

  kisukari JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,763
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  ipo siku utateleza tu.pengine hivyo unavyomfanyia,na yeye anakufanyia hivyo hivyo.ngoma droo
   
 9. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Nalijua hilo mkuu ndo maana nikasema cheating is a game.
   
 10. k

  kisukari JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,763
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo,kwako wewe ni sawa tu.
   
 11. LD

  LD JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kuna haja, ya kukaa karibu na Mungu,
  Ili uwe unaoteshwa nyendo za Mume wako aiseee.
  Manake, sasa haya mambo inabidi yaangaliwe kiroho zaidi.

  Sura na matendo ya nje yasitudanganye hata kidogo.
   
 12. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hi umerekebisha, but I take it to understand that it should be read as 'sometimes you WIN sometimes you lose'
   
 13. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kuna siku nilisema jamaa yangu anaotaga ni shemeji yangu nini!
   
 14. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,289
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  Naomba kuuliza wenzangu, hivi hawa wanaume wanaumiza vichwa vya wanawake namna hii kwa nini?

  Kwa nini mke na mume, boyfriend na girlfriend, kila mtu aishi maisha yake, fanya ufanyacho, its is non of the others buzinez. Hakuna kuulizana umetoka wapi, ulikuwa na nani, unaenda wapi, kwa nini this and that. Yaani kila mmoja awe na uhuru wa kujisimamia mwenyewe. Atakayecheat it is up to him. Nadhani kuchungana chungana na kufuatilia ndiko kunasababisha watu kuvunjana mioyo.

  Mmekutana wote watu wazima, ya nini kufuatiliana maisha, kuvunjana mioyo na kusababisha kufupisha maisha kwa sababu ya magonjwa yatokanayo?


  I have come to a conclusion kwamba kama una mpenzi cheater muache acheat hadi atakapoamua kuacha mwenyewe. Sina muda wa kusumbuana na mtoto wa mwanamke mwenzangu. Kufanya mapenzi bila kinga ni a big no. unless kila week tunaenda kupima ngoma.

  Excuse me, sorry.
   
 15. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  unaishi tz kweli weye? hapa hapa kwa kiwete?
   
 16. LD

  LD JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Usikute!!!
  Manake dah!!
   
 17. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #17
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ld inabidi tuombe macho ya rohoni,,,tuone kila move,hata akianza kutamani tu,,lolz
   
 18. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #18
  Mar 30, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Basi bana shemeji sitoi siri tena bana! Dah!
  Dena Amsi uko wapi sasa muulize mwenyewe yale maswali, mwenyewe kaja hukuuuuuuuuuuuuuu!
   
 19. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #19
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Wewe bana acha uchokozi mambo mengine hatusemi hadharani
   
 20. LD

  LD JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kweli kabisa Wiselady,
  Hizi habari zinahitaji macho ya rohoni kabisaaaaaaaaaa!!!!
   
Loading...