I'm The Best Cheater Kuz Nafanya Hivi.

  • Nakuwa Karibu na Mpenzi wangu Kimwili na kiakili.
  • Na-act kama mshauri mkubwa na Namtia matumaini
  • Natoka nae out mara mbili within a week days na wkend tunakuwa pamoja.
  • Kila wkend Shoping lazima.
  • Nina simu tatu kati ya hizo ni moja tu ndio nitumiayo nikiwa na nimpendae.
  • Najenga mahusiano mazuri na rafiki zake pamoja na wazazi wake.
  • Nimehakikisha kazini kwangu hatambuliki hata kidogo.
  • Nikitaka kuchakachua vimada naenda nje kidogo ya Jiji la bongo.
  • Nampitia kila siku kazini kwake wakati wa kurudi nyumbani.
  • Nimehakikisha kazini kwake natambulika mpaka kwa bosi wake.
  • Nimejenga mazingira mazuri yanayoniwezesha kupata taarifa zake.
  • Nimehakikisha naongea nae kwa simu kwa masaa 5 kwa siku.
  • Nimehakikisha kuwa rafiki zangu wa karibu sana hawamjui.
  • Nimehakikisha anatembelea nyumbani kwa wiki mara 4.
Nimeenda Kwa Babu Kupata Kikombe Ili Nisipate Magonjwa sugu, Kwani zinaa inaua.

MY TAKE: CHEATING IS A GAME SOMETIMES YOU WON, SOMETIMES YOU LOOSE.
Its practical 4 a period of tym lkn baada ya muda utagundulika 2, anyw umejaribu kusadifu uhalica wa maisha kwa ku-imagine kisa cha namna hiyo. Lkn uaminifu ktk mahucano unawezekana kabisa kaka!
 
Back
Top Bottom