Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,815
- 10,702
Ngoja kwanza tusuluishe wapenzi mambo ya massage ya badae😂😂😂Naomba nifanye massage hiyo miguu ya kwenye avatar
Ngoja kwanza tusuluishe wapenzi mambo ya massage ya badae😂😂😂Naomba nifanye massage hiyo miguu ya kwenye avatar
Hatumpotezi wafariji tumejaa,,😆😆😆😆
Usifanye hivooooo
Babu harusi ana moyo mwepesi tusije tukampoteza
Kila mtu apambane na hali yake... Kayavurugaa huyo mahala... Acha anyooshweerNgoja kwanza tusuluishe wapenzi mambo ya massage ya badae😂😂😂
Naomba tu bwana harusi anisamehe,😂😂Tujue nani mshindi,,
Bwana harusi ajiandae kupigwa matukio, sio kutosalimiwa tu hata chiu atapewa mara 3 kwa mwakaNaomba tu bwana harusi anisamehe
Ila yuko very submissive jaman
Ukute hapo yeye ndo kajishusha, kaomba msamaha, promising to behave next time.😒
Kwel bi harusi kapata na kupatwa😂😂
😂😂😂😂Hatumpotezi wafariji tumejaa,,
Mpeni mbwinu bana. Asikue mnyonge hivo, penzi gani halina heka heka😂😂Kila mtu apambane na hali yake... Kayavurugaa huyo mahala... Acha anyooshweer
Sa itakuwaje ndo wameshayajenga na mubebe wake😂😂😂😂
Nlikua nshaandaa good night paragraph ni kulishusha tuu
😂😂😂😂Bwana harusi ajiandae kupigwa matukio, sio kutosalimiwa tu hata chiu atapewa mara 3 kwa mwaka
Mapenzi haya mbinu, zaidi ya mmoja wapo kuwa zoba... ndio yataendaMpeni mbwinu bana. Asikue mnyonge hivo, penzi gani halina heka heka😂😂
😂😂😂😂
Nalihifadhi tu kwenye mafile maana naona kama atarudi tena siku za karibuni😂😂Sa itakuwaje ndo wameshayajenga na mubebe wake
Tuache na kapicha ka mrembo hata mguu tu tujue nini kimekuchanganya namna hii,Thanks so much for your wonderful and sincerely contribution on this thread it turns out that, I was low and your comments has somehow healed me and made me laugh.
I'm so proud of each and every one of you, who took your time to advise me on the regard that I might be your son, brother or young brother
we don't know the emotions people go through behind these pseudo names so each time you get a chance to say something nice kindly do it , it might help a person in one way or another
I truly Adores each and every one of you and of course Kapeace is the best citizen of the thread.
I've addressed the issue with my fiance and we kinda cool for now and am okay.
all the best
FlyingDutchman
Mpatanishi pokea zako shukrani hapo juu umeandikiwa ka uzi ndani ya uziSa itakuwaje ndo wameshayajenga na mubebe wake
Unaona kinglesa tena cha kubold hapo juu, jamaa hapindui kwa demu atateseka sana wafariji tupoNalihifadhi tu kwenye mafile maana naona kama atarudi tena siku za karibuni😂😂
Ila inshallah babe this time ata behave