Nawanapenda sana kurudia rudia makosa ysliyopita km kosa ulifanya wrweYani shukuru ukiambiwa "basi yameisha jamani". Maana wanaume kwa kugeuza kesi hawajambo. Kosa lake Ila litageuzwa liwe lako na wewe ndo uombe msamaha. Mnanifurahishaga sana
Dah unakesi ya kujibu jovAlfu sumbai unajua nilikuwa najua wewe nimwana.ke[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante
Gracias {spanish}
Kesi gani tena???Dah unakesi ya kujibu jov
Haha umenikumbusha wimbo wa mwana FA na v money.. pale mwisho jmaa anasema ..hata Panton linastaafu mwanamke anasema unamwambiaa nani sasa unamwambia nani.Wangu ukimwambia am sori ndo kwanza ligi inapamba moto
Ile ya sabuni..... Hebu ikumbukeYa China ndiyo ipi
Kesi lazima ugeuziwee.....tena utaanza wewe kuomba msamaha.Yani shukuru ukiambiwa "basi yameisha jamani". Maana wanaume kwa kugeuza kesi hawajambo. Kosa lake Ila litageuzwa liwe lako na wewe ndo uombe msamaha. Mnanifurahishaga sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Haha umenikumbusha wimbo wa mwana FA na v money.. pale mwisho jmaa anasema ..hata Panton linastaafu mwanamke anasema unamwambiaa nani sasa unamwambia nani.
Kwa hiyo wako naye anapandisha sauti hivyo mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Asante kwa taarifa.....Ndiyo huyu hapa ila mcheze salama na mjukuu wangu
Uliwaza nini??? Yaani paka ukawaza hivyoKesi gani tena???
Wakati mwingine ni burudani kweliHaha. Ila mimi hao ndiyo Nawapenda bhna