maliyamungu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 564
- 412
Tarehe 8/8/2003 julius Nyerere international Airport terminal 2 saa 8 mchana nampokea rafiki yangu kipenzi James Achevi Chikala cha kwanza nikamuuliza vipi Zimbabwe? Akanijibu hali ni mbaya mafuta bei juu mfumuko wa bei ndio usisema! Nikamwambia Hakuna watu wajinga kama wazimbabwe.. Akanambia kwa nini!? Nikamwambia mnamuachaje Mugabe afanye nchi kama yake anavyotaka na kuaribu uchumi wenu. Akainama chini na kuonesha masikitiko.. Akanijibu maskini hana mbwembwe.
Nikamwambia angekuwa Tanzania angekoma.
Leo nimeamini maskini hana mbwembwe.
I’m so sorry Mr Chikala.
Nikamwambia angekuwa Tanzania angekoma.
Leo nimeamini maskini hana mbwembwe.
I’m so sorry Mr Chikala.