Ndugu ninapitia wakati mgumu sana kimwili na kiroho. nina mimba ya miezi 2 lakini mhusika amenitelekeza kwasababu nimekataa kuitoa eti hako tayari kulea mtoto kwa sasa. ameapa nikiamua kulea mimba hii basi nisimjue na kweli amekata mawasiliano hadi hapo nitakapokuwa tayari kutoa nimpigie. nimekubali kuilea japo sijajua nitaileaje. kazi ninafanya ya kibarua mahali ambapo wananiita wakati wakiwa na project. wazazi wako kijijini hawajiwezi.
Pole sana, Mimba ni rahisi sana kulea kwani tumbo kila mahali unakuwa nalo,ishu kubwa ni kwenye mtoto kama huna support walah unahisi dunia imeturn agaist you, All in All lea hiyo mimba mengine yatajulikana mbeleni..Huyo mwanaume achana nae,hukupangiwa na mwenyezi mungu awe wako...
Maisha ni mapito rafiki na yamejengwa na changmoto nyingi!bila changamoto maisha haya yangekuwa yanaboa sana.Changamoto hizo zinapima uvumilivu wetu na uwezo wetu wa kuchanganua vitu kwa maarifa.Chukulia haya unayoyapitia sasa ni mapito katika maisha wakati wa kuvuna utafika na utasahau machungu na maumivu yote!
kwani huwezi kuichukua hapohapo ulipo?Nimeipenda hiyo picha, nitumie whattsap please. hahahah
kwani huwezi kuichukua hapohapo ulipo?
This is my Father's world.
O let me ne'er forget
that though the wrong seems oft so strong,
God is the ruler yet.
This is my Father's world:
why should my heart be sad?
The Lord is King; let the heavens ring!
God reigns; let the earth be glad!
Ooh what a Hymn naipenda saa hii Mrembo by Nature
kibebi take heart shukuru kw yote kila kitu kitakuwa sawa