beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
............Wanadamu wa leo ni mahangaiko matupu,match?For what?Tuna tatizo kubwa sana la kutokujua upendo ni nini hasa.Kwanini tusipimane kwa ubinadamu wetu?......Jamani mimi Eiyer sijui ni mshamba au naishi dunia ipi,mimi bana huwa sina makomplikesheni. . . Kama tumekubaliana tuwe pamoja basi masuala sijui una rangi gani,sijui urefu hayana nafasi kwangu....,..Ninachoangalia ni tabia tu,tena mambo machache. . . . . . Enewei endeleeni na usasa wenu!
Eiyer umenifurahisha sana,ila haya mambo yana muda wake inawezekana umri wao unaruhusu kwahiyo ni sawa tu hata sisi tulipitia huko......lol............Wanadamu wa leo ni mahangaiko matupu,match?For what?Tuna tatizo kubwa sana la kutokujua upendo ni nini hasa.Kwanini tusipimane kwa ubinadamu wetu?......Jamani mimi Eiyer sijui ni mshamba au naishi dunia ipi,mimi bana huwa sina makomplikesheni. . . Kama tumekubaliana tuwe pamoja basi masuala sijui una rangi gani,sijui urefu hayana nafasi kwangu....,..Ninachoangalia ni tabia tu,tena mambo machache. . . . . . Enewei endeleeni na usasa wenu!
Umetishaaa alooo mi unajua nimemshangaa huyo kijana atakua sio mzima labda............Wanadamu wa leo ni mahangaiko matupu,match?For what?Tuna tatizo kubwa sana la kutokujua upendo ni nini hasa.Kwanini tusipimane kwa ubinadamu wetu?......Jamani mimi Eiyer sijui ni mshamba au naishi dunia ipi,mimi bana huwa sina makomplikesheni. . . Kama tumekubaliana tuwe pamoja basi masuala sijui una rangi gani,sijui urefu hayana nafasi kwangu....,..Ninachoangalia ni tabia tu,tena mambo machache. . . . . . Enewei endeleeni na usasa wenu!
eti wapenzi!yaani dunia ya leo sijui imekuaje.unadiriki kumuita mtu mpenzi wakati hamjawai onana.eti picha tu ushachanganyikiwa.
Duniani kuna mambo......mmhhh Mama Tuli endelea kukua uzidi kuona na kuyasikia mengi
Wapo kwenye ishirin ishirin hapo me 25 n ke 23Wana umri gan hao vijana?
guys wazima siku mingi sijatinga hapa ila sio ishu saaana ila jaman hebu tumsaidie huyu binti is one of my frend amempenda mkaka bila kuonana zaidi ya picha tu.
Wamekua wakitumia mkaka kwao mambo ya kishua kidizain, mdada kawaida tuu na she is moderate tu na wanawasiliana kwa miezi sita sasa na ni wapenzi siku moja mvulana akamwambia mwenzie kuwa anaogopa wat if akija na mara wasiwe wanaendana itakuaje?
Sasa yule binti anampenda mshikaj na alikuwa afikiri chochote bt since yule kijana amwambie hivo yan kakosa imani nae, pia hayupo comfortable kama zamani.
Sasa afanye nini huyu binti jamani? She is in love n is about a month ataenda onana na kijana, so ushauri wako ni muhimu sana.
Wapo kwenye ishirin ishirin hapo me 25 n ke 23
Mapenzi ya kweli hayaangalia muonekano wa mtu, mara nyingi ni dhamira iliyojificha na kujijenga ndani ya moyo wa mtu. Kwa maelezo ya hapo juu mwenye mashaka ni huyo kijana na siyo dada, kitu kinachonifanya nifikirie kuwa inawezekana huyo kaka hana mapenzi ya dhati wakati huyo dada ndo keshafika! Nalazimika pia kuamini kuwa inawezekana huyo kaka anapenda tu kampani na hana mkakati wa dhati wa kuwa mpenzi wa huyo dada while dada anafikiria the otherway arround!
Ushauri ni kuwa huyo dada awe makini maana maneno ya huyo kijana yanaonyesha kuwa ana-expectations za kukutana na dada mwenye muonekano na pengine hata figure fulani itakayo mvutia na kinyume cha hapo, atakuwa hana mpango na huyo binti. Fikra hii haionyesha mapenzi, bali tamaa!
Kwa ushauri, atafakari haya maneno na kuchukua hatua, that is penda unapopendwa!