I'm scared, what if we don't match?

Hiyo ya kwny pcha duh!mi jaman wanaume wazurii sn kwa sura mi no!ila awe makin na kuendana kwl kunamatter cz uwez kuta ye mnywaji,m2 wa club sn alaf ye knyume wakaendana,mi ushaur labda acwe na hopes sn kwel wakutane wasomane vzr
 
Amina my dia umenena fact
 
Joining Date yako inanitia mashaka...JF ni tofauti kabisa na FB.
Bahat mbaya jf hakuna mashindano ya usupa star so kajipange upyaa. Nimeomba msaada mtu anamatatizo sa wewe waja ni crush do u tink im making up sm stories? Hell noooh so as ur id ogopa sana hebu jiogope mwenyewe, we wawap?
 
Babu yangu alichumbia mimba ya mama yangu, na baba yangu akaoa na ndoa yao ilikuwa mwaa beyond . Huyu kaka na picha kaona anamatatizo huyo!

...Na ujauzito ule uliochumbiwa na Babu ndio akazaliwa 1st born binti mwema aliyeitwa NATA
 
Last edited by a moderator:
............Wanadamu wa leo ni mahangaiko matupu,match?For what?Tuna tatizo kubwa sana la kutokujua upendo ni nini hasa.Kwanini tusipimane kwa ubinadamu wetu?......Jamani mimi Eiyer sijui ni mshamba au naishi dunia ipi,mimi bana huwa sina makomplikesheni. . . Kama tumekubaliana tuwe pamoja basi masuala sijui una rangi gani,sijui urefu hayana nafasi kwangu....,..Ninachoangalia ni tabia tu,tena mambo machache. . . . . . Enewei endeleeni na usasa wenu!

Mmmmmhhhhh unaangalia tabia tu?
I wonder...........
Mengine je kama genetic diseases kama vile sickle cell,ukichaa,ualbino?
Kama kwao wana historia ya uchawi,ujambazi etc?
Kama familia yao ni dini tofauti na ya kwako?
Yaani mkuu wewe unaangalia 'tabia' tu mengine no go zone?
Haya bana all the best.
 
  • Thanks
Reactions: LD
ukisoma mambo ya vijana wa sasa unaweza kuchefuka katika hili suala la mapenzi!yani vituko vitupu!mpenzi wakati hata humjui!
eti wapenzi!yaani dunia ya leo sijui imekuaje.unadiriki kumuita mtu mpenzi wakati hamjawai onana.eti picha tu ushachanganyikiwa.
 
eti kijana kwao mambo safi!hajamjua kijana mwenyewe,atajuaje kama nyumbani kwa huyo kijana mambo safi?
 
Si hivyo, bibi yangu akiwa na mimba ya mama yangu, ndipo babu yangu mzaa baba akashika ile mimba akizaliwa binti atakuwa mke wa mwanawe.

Na kweli akazaliwa mama yangu mpendwa na kuolewa na baba yangu bora!
 
dah!!muonekano ka wetu sijui kama tuta pata mchumba kwa njia ya picha zaidi ya live tena kuwa nae karibu akujue vizuri,siunajua tena mambo ya wakushii naweza kuingia mahali unaona watu wananyanyua simu zao mezani,na pishana na mtu anapitaa mbali yani ananiogopa...hata majirani wanasema huyu jamaa kauzu kwelii afu anaonekana ana roho ya kinyama,ila wale ninao kaanao karibu wanaona jamaa peace mbaya.mi namwambia dada asiwaze huwezi kujua bila kuonana she must go for it and found out...it will set her soul free
 
............Wanadamu wa leo ni mahangaiko matupu,match?For what?Tuna tatizo kubwa sana la kutokujua upendo ni nini hasa.Kwanini tusipimane kwa ubinadamu wetu?......Jamani mimi Eiyer sijui ni mshamba au naishi dunia ipi,mimi bana huwa sina makomplikesheni. . . Kama tumekubaliana tuwe pamoja basi masuala sijui una rangi gani,sijui urefu hayana nafasi kwangu....,..Ninachoangalia ni tabia tu,tena mambo machache. . . . . . Enewei endeleeni na usasa wenu!
Eiyer nimekupendaje kwa hili? sisemi tena kitu manaake umeyamaliza yote. ndoa yako na Kaunga ibarikiwe sana. mukapewe triplets ili mumalize kuzaa mapema mule raha tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom