Hvi darasa la pili na nyie mmefunga shule?
Nahitaji best wa kutoka nae
Mm nipo migombani zanzibar kama yupo ani PM fasta
Tunatoka kwenda wapi sasa........?......maana mimi nilikuwa nataka kwenda Hideaway Hotel kwa lunch leo........nije..?.....
Unaogopa kutoka?
Tunatoka kwenda wapi sasa........?......maana mimi nilikuwa nataka kwenda Hideaway Hotel kwa lunch leo........nije..?.....
Tutatoka leo au?
Isitoshe mm csomi teeena kwamba mm c mwanafunz kwa sasa
Ucjali ni PM
Tunatoka kwenda wapi sasa........?......maana mimi nilikuwa nataka kwenda Hideaway Hotel kwa lunch leo........nije..?.....
Vitu vingine vya kueleweshana hapa hapa huko pm kila mwenye swali akija si itakuwa mafuriko
ila Mama kuwa makini,nasikia Zanzibar wanapendelea kutumia mtandao wa tigo kuliko airtel!!....Uko tayari line yako ya tigo itumike????
Eenheee lengo ni leo kesho na kesho kutwa tuinjoi pamoja
Isitoshe mm csomi teeena kwamba mm c mwanafunz kwa sasa
nikuagize nilipo uje toto?👄👄👄👄👄Hayo ni majungu tushayazoea sana tu