I'm really caught-up here

I'm really caught-up here

hamna baby wewe tu umenitafsiri vibaya mimi wala sina shida na chochote ila tu kodi yangu inaisha mwezi ujao
Maombi yangu yamesikilizwa..Nadhani now ndo muda muafaka wa kuhamia kwangu
 
Maombi yangu yamesikilizwa..Nadhani now ndo muda muafaka wa kuhamia kwangu
Nilisahau sio kodi ..... mama amesema niende nyumbani nikamsaidie kuvuna na nauli sina
 
Mi mwanamke wa mipombe hata kidogo tu anipishe mbali kbs.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom