She had already told you when she said that, she doesn't count one drink as a drinking. ni kipi hapo ambacho huelewi.You wouldn't trip if the one you love lied to you?
Lying is no "small stuff", man. I'd keep my grills tight on some issues, but not lying. I'm fussing coz if I don't, it will get excessive. All I need is to understand why she wasn't straight with me, then I'll see if it's reasonable enough.
wewe ni mlevi?Nashukuru Mungu sijawai kupata mwanamke mlevi.
Yaaani mwanaume unakuja kulia lia jukwaani eti demu wangu anakunywa bia, like seriously?Mmmh wanaume tunaendelea kupungua. Hii nayo habari!!!!
Na kwa nini udanganye kama hakuna mapicha picha? Mimi nasema ukweli kabisa nilipo maana pia sipendi mchele mcheleUnaweza kutoka bila kuaga..Ila nikikupigia simu kutaka kujua uko wapi then ukasema upo sehemu flani wakati haupo hapo.. Hiyo ni shida kubwa kwangu
Umenena vema sanakama hivyo sawa ila tambua kuwa wanawake wengi hawawezi kujibu straight kuwa nimefanya kitu flan mpaka uwakazie sanaaa so kuwa mvumilivu mwisho utajikuta unaachana na kila mwanamke kutafuta mkweli, kikubwa kuvumiliana,kusamehana
Unfortunately lying is an acceptable culture in our society so dont be surprised with our replies.You wouldn't trip if the one you love lied to you?
Lying is no "small stuff", man. I'd keep my grills tight on some issues, but not lying. I'm fussing coz if I don't, it will get excessive. All I need is to understand why she wasn't straight with me, then I'll see if it's reasonable enough.
Kama unaongea ukweli hakuna tatizo mama..Shida yangu ni uongo uongo usio na maana..Mi bora mtu aniambie ukweli hata kama utanikera kuliko kuniongopeaNa kwa nini udanganye kama hakuna mapicha picha? Mimi nasema ukweli kabisa nilipo maana pia sipendi mchele mchele
Waongo waongo utawajua tuUmenena vema sana
Nani muongo babyWaongo waongo utawajua tu
Teh teh..We omba tu unachotaka kuomba..Usinijaze ujinga kwanzaNani muongo baby
I guess u & i got the same mindset. I always begin to lose trust in someone i luv when i find out they be lying even in some matters that might seem quite irrelevant. 'Cause i believe if she had the audacity to lie to me on 'small' issues as such what about the 'big' ones then!
We just different fam.
Unfortunately lying is an acceptable culture in our society so dont be surprised with our replies.
Mnywaji kabisa?
Teh teh..We omba tu unachotaka kuomba..Usinijaze ujinga kwanza
hamna baby wewe tu umenitafsiri vibaya mimi wala sina shida na chochote ila tu kodi yangu inaisha mwezi ujaoWord!I knew we're all cut from different type of clothes, but I just don't get how people would accept having no peace of mind just to keep a relationship going. Lack of trust can trigger a lot of things, some of which might not even exist.