I'm Planning to Meet lara 1

hebu nieleweshe kwanza hapo ni ulikuwa unanibashiria mimi au?
sijakuelewa....

Siwezi kujua mkuu, kama umefuatilia issue za gesi, halafu ukaamua kuondoka na mzigo mwingine huku kwenda nao China. Lakini wewe sio yule niliyemdhania, poa mkuu.
 
Dah, JF ina member wengi! Nilienda sehemu nilikuwa natafuta service fulani, sasa mdada fulani (simjui jina, ila username ya JF), badala ya kunihudumia yeye akawa anang'ang'ana kupost. Tukiitumia JF vizuri tunaweza kuleta mapinduzi kabisa!
 
lara 1, hope you will be fine soon, goodnight.
 
Kimsingi mzeiyar ulianza kisimplicity ila ukageuk complicator..baada ya kushindwa kujibu swali lile la uniqueness or something like that..na kuanza kuleta habari za private convos..etc ila ulishafanikiwa kumteka na hiyo legalese..sema ukachemsha may be keshastukia umefake confo..etc..i could be right but also wrong..no offence though..!!
 

Hahahaa, wewe ulitaka tu kufuatilia mazungumzo yetu. Wewe ulitaka tutongozane hadharani aisee halafu nyie muwe mnapiga chabo! Kila kitu ni poa, worry not.
 

I feel u dawg, this is sum romeo & julieth kinda sh*t. If I were to bet my chips on u, Am All In!
 
Mkuu nimeijaribu hii declaration kwenye bbm, ngoja nione kama mkeka utatiki
 
hahahahahahaha haya bana umeniweza, vipi lakini appointment na Lara1 imekamilika?
U guy don't contradict urself "To fear love is to fear life......". Seems people here are not realistic!
 
Hahahaa, wewe ulitaka tu kufuatilia mazungumzo yetu. Wewe ulitaka tutongozane hadharani aisee halafu nyie muwe mnapiga chabo! Kila kitu ni poa, worry not.

Hahaha truthfully yeah..i was expecting u'd do it publicly coz ulianza na swagger hizo..if errtng is gud then no worriz..ila ingekua pouwa sema being more truthful kile swali lilikuzingua mkuu..? Thats my opinion though..!!
 
Hahaha truthfully yeah..i was expecting u'd do it publicly coz ulianza na swagger hizo..if errtng is gud then no worriz..ila ingekua pouwa sema being more truthful kile swali lilikuzingua mkuu..? Thats my opinion though..!!

Haikuwa malumbano mkuu, nimeweka tu tangazo nataka kuonana na lara 1, physically. Hebu tumia akili hapa: Tufanye wewe unataka kumtongoza mwanamke, utaanza kulumbana naye badala ya kufanya mazungumzo laini? You kidding! Watu wengi wanapenda kulumbana na wenza wao, that's why they end up ----ing their relationships! Sasa ulitaka tushindane, then what? Nani angekubali kushindwa, mimi au lara 1? lara 1 unamjua, unamsikia? Ningepoteza lengo la declaration yangu. Poa
 

Mkuu mi napenda sana Kiswahili. Tena cha kukua nacho siyo cha darasani
 


rafiki huwa unasaidia mawaziri kuandika mikataba ya rasirimali zetu? ka sio naomba uombe hiyo kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…