JF usanii mtupu, mi nimemvumilia sana Kloro,lakini sasa naona analeta dharau...usitukane wakunga na uzazi ungalipo Kloro!
Atasoma tu,namtumia PM yenye attachment ya hii thread na hii page!
Nina picha kabisa mkuu, yaani alikuja kavaa kaptula imetoboka sehemu fulani halafu hajali as if huko alikotokea hawavai nguo kabisa,kumnyang'anya ile kaptula ilikuwa vita.....acha niishie hapo,nitaweka picha zake akileta za kuleta