Yeah, na sio kila mtu humu anaenjoy maisha pengine kuna watu wana magumu kuzidi unavyowaza, unafikiri wao hawakuzaliwa? Unakuta tena wakiingia humu ndo wanapooza machungu au kupata ahueni na wanayopitia! Ni vile sio kila mtu tu anapenda kulalamika au kuyasema!Punguza kulalamika,nyuzi zako nyingi ni kulalamika tu,
Kulalamika hakuwezi kuibadili hali yako,mabadiliko yanaanza na wewe mwenyewe kwa kubadili fikra zako,
Dunia haina huruma,Dunia ya leo inataka ubishi na ujasiri wa kupambana,
Hizi pole utakazo pewa hapa haziwezi kubadili chochote,
Mama yako aliplay part yake,now it's your turn,
Maisha ni yako,pambana kivyako,life is very short,acha kuishi kinyonge.
Mimi ninasisitiza hili hakika linauwezo wa kukuondolea upweke wotee ulionaoTafuta mume bint au Niiweke waz zaid jamaa anaekupenda na unamkataa ndo ataweza kuplay part zote hzo.
Fanya maamuz
Uko sahihi sana bro, afate ushauri huu! Funga roho tafuta maisha kijana! Or else Shaking a baobab tree U end up shaking ur buttocks and this aint about shaking his/her butts..Pole Ila ONDOKA hapo ulipo hata miaka 10
Na achana na kutumia mitandao with no benefits .
Nenda mbali Sana na kitu kinaitwa familia .
Ukitaka kufa mapema na kwa pressure endelea kuongelea so called relatives a lot of them ni Maza faka .
Pole sana,..huyu kaka uliyempambania leo hii hakumbuki wadogo zake ametuacha tuteseke peke yetu..
Haturudi nyuma Eve, yani life litazidi kuwa tough. Fikiria hawa watoto wanaomaliza vyuo kila siku na hawajui waende wapi, baada ya miaka kumi hali itakuwaje!!Unantisha mzee mwenzangu kwahiyo hapa mnyoosho bado 😂😂😂
The Icebreaker kwani huko mshahara wa beki tatu kiasi gani 😢
😅😅 ushafikisha ushauri wa sita mpaka sasaNimeamka na ushauri sana leo😅 take it or leave it! Up to you🙂
Yes mkuu . 100%Uko sahihi sana bro, afate ushauri huu! Funga roho tafuta maisha kijana! Or else Shaking a baobab tree U end up shaking ur buttocks and this aint about shaking his/her butts..
Means When you take on something too big or beyond your strength, you might end up embarrassing yourself..
Nimeamka na ushauri sana leo😅 take it or leave it! Up to you🙂
Huu msemo nimeupenda!!Uko sahihi sana bro, afate ushauri huu! Funga roho tafuta maisha kijana! Or else Shaking a baobab tree U end up shaking ur buttocks and this aint about shaking his/her butts..
Means When you take on something too big or beyond your strength, you might end up embarrassing yourself..
Nimeamka na ushauri sana leo😅 take it or leave it! Up to you🙂
Mleta mada ni sawa na baadhi ya nchi za Afrika kulalamika kua,wao ni masikini coz nchi zao zilitawaliwa na wakoloni!Yeah, na sio kila mtu humu anaenjoy maisha pengine kuna watu wana magumu kuzidi unavyowaza, unafikiri wao hawakuzaliwa? Unakuta tena wakiingia humu ndo wanapooza machungu au kupata ahueni na wanayopitia! Ni vile sio kila mtu tu anapenda kulalamika au kuyasema!
Umeanguka amka, kikung’ute endelea na safari!
Na akili bado inaniambia kuna kitu sijaandika😁aisee imetosha sasa😂😅😅 ushafikisha ushauri wa sita mpaka sasa
Haturudi nyuma Eve, yani life litazidi kuwa tough. Fikiria hawa watoto wanaomaliza vyuo kila siku na hawajui waende wapi, baada ya miaka kumi hali itakuwaje!!
Umeweza kujitegemea? Au bado u tegemezi?Sijui ni lini na mimi ntakuwa na furaha maishani, Furaha yangu ilitoweka pasipo kujua baada ya kumpoteza mama yangu miaka mingi iliyopita nikiwa bado mdogo sana.
Maisha niliyopitia kutoka kwa ndugu, mama wa kambo pamoja na baba asiyejali yananipa hasira sana, sijui hata nimlaumu nani kuzaliwa kwenye hii familia, huu ukoo na huyu mzazi ambaye hakutaka kabisa kusimamia nafasi yake na kutimiza majukumu yake ya malezi ipasavyo kwetu sisi watoto wake.
Natamani kama kungekuwa kuna Dunia nyingine ambayo haitakuwa na binadamu niende nikaishi huko nipotelee nisionekane na mtu yoyote kila mtu asahau kuhusu mimi.
R.I.P mom ulikuwa mpambanaji ukahakikisha kaka amesoma na amemaliza chuo kupitia ujasiriamali wako mdogo mdogo uliokuwa ukifanya, matokeo yake huyu kaka uliyempambania leo hii hakumbuki wadogo zake ametuacha tuteseke peke yetu, hata leo hii simu zake hazipatikani amekuwa addicted na pombe hadi anashindwa kufanya kazi yake kwa ufanisi.
Pengine ungekuwepo mom nisingepita nilikopita ungenifundisha vingi vizuri na imani pia ungenipambania, wala usingeniacha niteseke kama alivyofanya baba. Nasikitika sana kwanini umeondoka nikiwa bado mdogo, bado nakuhitaji mama yangu😭😭
Kwanini Mungu ameruhusu hili litokee kwangu, kuna muda huwa najiuliza hivi Mungu huwa anaona mateso na matatizo yetu tunayopitia sisi wanadamu, huwa namlaumu sana Mungu kuniondolea mama yangu kipenzi nikiwa mdogo, namlaumu pia kuruhusu mateso yawe sehemu ya maisha yangu, kunipa baba asiyejali watoto wake.
Ninahisi kumchukia baba yangu, hata akinipigia simu sifurahii kabisa, hata kwenda kumsalimia hadi anikumbushe au tu hiyo siku nijisikie mwenyewe. Lakini nimemsamehe kwa yote aliyoyafanya maishani mwangu japo moyoni mwangu naumia sana kila nikiyafikiria maisha yangu yaliyopita.
Natamani hata wakati ule mama yangu angebaki ningetanguliaga mimi, najitahidi kuwa na furaha lakini nikikaa mwenyewe furaha yote inatoweka.
Nawezaje kuondokana na haya maumivu yaliombatana na chuki kwa ndugu zangu?
Uko vizuri sana!Huu msemo nimeupenda!!