miss kitongoji
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 662
- 625
I'm new here tufahamiane jamani natanguliza shukrani mi ni ke





hebu sadiki jina lako kwa kutupia picha tuone ni miss kitongoji kweli au maneno tu!I'm new here tufahamiane jamani natanguliza shukrani mi ni ke![]()
nakupenda sanaI'm new here tufahamiane jamani natanguliza shukrani mi ni ke![]()
Karibu sana miss kitongoji... tutajie taarafa, kata, mji/kijiji na mkoa unaotoka..! mimi napatikana jiji la bashite kitongoji cha daudi, kata ya zungusha mtaa unaitwa fa fafa fa fa karibu sanaI'm new here tufahamiane jamani natanguliza shukrani mi ni ke![]()
Thank u sweetheartWaaow na bagen. Karibu

Karibu sanaI'm new here tufahamiane jamani natanguliza shukrani mi ni ke![]()
Pic kesho jamanihebu sadiki jina lako kwa kutupia picha tuone ni miss kitongoji kweli au maneno tu!



Nakupenda pia jamaninakupenda sana
Naitwa Castr, nakupa jina la Mkuu usishangae mtu akikuita mkuu. Ila zingatia;I'm new here tufahamiane jamani natanguliza shukrani mi ni ke![]()
Jamani naogopa mchumba akiona kasura humu atasitisha kandoa mana nae yupo humu humuKaribu miss kitongoji ila vema tukaona sura yako





na nasubiri tu uweke ili nipate ushahidi mtimilifu kwanza nani kakwambia ujiunge..?Jamani naogopa mchumba akiona kasura humu atasitisha kandoa mana nae yupo humu humu![]()
Duuuh mbona umeziba fasta hivyoJamani naogopa mchumba akiona kasura humu atasitisha kandoa mana nae yupo humu humu![]()