I'm new here

I'm new here tufahamiane jamani natanguliza shukrani mi ni ke
Naitwa Castr, nakupa jina la Mkuu usishangae mtu akikuita mkuu. Ila zingatia;
1. Usilete jukwaani mazungumzo uliyofanya na mtu pm.
2. Usitukane, kukashifu wala kumuita majina fyongo member mwenzio.
3. Usiandike kama upo fb.
4. Tukutane jukwaa la Love connect.
5. Nitumie picha yako pm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom