Kwa upande wa iman sijui,ila ni swali zuri,lakini pia ukweli ni kuwa mapenzi ni uchafu kama wataka mwenzako afurahie ni lazima upite sehemu zote za mwili!Hasa zile zinazosemekana ni chafu!
Sijui hata inakuwaje jambo hili! Wapenzi waliooana baada ya kunogesheana saaaaana unashangaa kuwakuta hata kugusana hawataki. Kikubwa ugomvi full time! Mara huyu kiburi, mara hajali, mara anachelewa........!
Ndani ya ndoa hata kukiss ni taabu moja kwa moja kwenye linalohusi balaa tupu, wengi walioolewa wanasema wamesahau hata romance ni nini, mume akifika anaanza tu moja kwa moja