I'm in luv with Lara1

Isumbwile

JF-Expert Member
Dec 12, 2012
801
195
She know how to present her threads and makes a reader enjoy reading the post, i have been a guest for sumtym till recent nimekuwa member and the truth is that when i read her threads,they make JF and my day never boring. Don't get me wrong ila wapo many others who present good threads kama wakina Mzizikavu,Mtambuzi and so many more can't mention you all ila Lara1 usually makes my day :smiling:..
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,212
2,000
Hujasikia leo alivyowashaua vijana wa kijiweni?

Jipange broda. Ukienda kwa kulialia anakubarasa.
We komaa mtoe na valuer ndio uanzishe hadith za kumpenda.
 
Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
6,541
2,000
Huyu lara1 mi naonaga ananiboa tu na mi thread yake ya ajabu ajabu, msimpe kichwa sana sio ki viiile.
 
Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
6,541
2,000
Hahahaha. Pole Mjuni Lwambo...ujue kila sheitwani na mbuyu wake! Mwenzio ndio kama hivyo kafa kaoza.

Unajua nini sweetlady, ukitaka kuwateka watu ni simple sana, kwenye maandishi yako weka vikolombwezo vingi vingi, mara mialama ya kushangaa mstari mzima mara mi nukta nukta na midude mingine ya ajabu ajabu, wadau wataona umeandika point sana kumbe hamna kitu, ongezea na maneno mengimengi ujaze page, lara1 ndio anawakamata kihivyo.
 
Last edited by a moderator:

sweetlady

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
16,960
1,250

Hahahaha, ndio mana kila shetani na mbuyu wake mpendwa!
 
Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
48,707
2,000
! Ngoja nimuite LARA1 aje akupe hug!
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom