I'm impressed with Presidential Security

mzalendo-wa-tz

JF-Expert Member
Dec 15, 2014
404
187
Huyu jamaa from no where alitaka kumuombea Raisi na Mheshimiwa Raisi akakubali, for security reasons you don't have to trust him in anyway. President safety matters first.
 

Attachments

  • 1468129410330.jpg
    1468129410330.jpg
    136.7 KB · Views: 36
Duh! Unafikiri mpaka kumkaribia Rais ni jambo la mchezo? Hapo usalama ulizingatiwa
 
Tuipende lugha yetu jamani,mbona kiswahili ni lugha nzuri tu na duniani inapendwa.
 
Jibu swali la kwanza uliloulizwa . The meaning of Immpressed .

2.Niliangalia hiyo video ,security walikua makini kuliko kawaida . ,toka anafuatwa mpaka anaanza sala. Verry Good .
 
Kwani muombaji dua ni raia wa wapi?? Kama ni watanzania na huyu ni Rais wake so anapaswa kumuamini nani??
Ina maana Rais ana maadui wengi nchini kiasi hiko?
 
Back
Top Bottom