stable-negro
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 509
- 347
- Thread starter
- #21
Duh..! Mbona visasi vimezidi jamani..! Maisha gani haya.!!
haya ndo maisha walionichagulia waliotangulia
Duh..! Mbona visasi vimezidi jamani..! Maisha gani haya.!!
haya ndo maisha walionichagulia waliotangulia
toka nimeanza mahusiano ya kimapenzi sijawahi kumtenda mtu sasa ni zamu yangu kukamilisha circuit, i swear watajuta sasa naanza kutumia meno yangu effectively i'm not a potential hubby until mission is completed.
jua kuna ukimwi

Haha hahaaaaa yani umenichekesha sanaa!
Nafikiri we unahitaji maombi lolz.. Kabla hujaenda kuukwaa kwa kudhamiria..
Wachaga wanasemaga.. Tema mate chini.. Plan gani ya kipuuzi namna hyoo????
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Taifa halina mitaala unategemea nn? Kheri yenu mlio soma enzi za mwalimu.
Naona umechoka kuchunwa sijui umefulia?
Kwa hiyo UBAYA unalipwa kwa UBAYA? Mmmh...!
ukiona ubaya unalipwa kwa ubaya ujue malipo ya ubaya kwa wema yameshindwa kudeliver
Nakutakia kila la heri katika kulipa UBAYA kwa UBAYA..!