Im coming home,wash your way,

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,240
Reaction score
11,913
Wanafunzi wa elimu ya juu waliokosa mikopo na hatimaye wakapata baadhi,je waliokosa na wana sifa kwa awamu ya pili, serikali ilaumiwe ama ndivyo mambo yana vyokwenda kwa kufarijiana kua bajeti haitoshi,je ni kweli haitoshi ,na serikali haijathibitisha kua bajeti haitoshi.
 
Tulia kwanza hapo kitini kisha tutaijadili hii kwa undani.
 
we hv told the world that you are here,.......lakn hii topic haijaeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…