Kuna utamaduni mzuri ns mbaya! Mbaya tuuache na mzuri tuukumbatie. Huu wa kukaa uchi tuuache.utamaduni gani wa ajabu hivyo? mimi siungi mkono utamaduni kama huu
Kweli kabisa. Kuna nchi kama nne zenye jina Guinea. Equatorial Guinea, Guinea Bissau, na Guinea yenyewe, hizi ziko Africa. Ila Papua New Guinea iko Assia nadhani. Ni kisiwa sema watu wa asili ya huko ni weusi weusi kama huyo mzee.Nadhani kuna nchi inaitwa sijui Guinea Papua au Papua guinea na wala haiko afrika mleta mada kachanganya...
Mkuu unaona wa ajabu kwa vile umezoea utamaduni wa kizungu.utamaduni gani wa ajabu hivyo? mimi siungi mkono utamaduni kama huu
Sio kiongozi wa kiafrika ni wa Papua New Guinea tofauti na GuineaAnatuzalilisha wa Afrika ,anajiamini kama anataka kuwakomoa wazungu vile! Wazungu wenyewe hawana habari naye.
Cc JamiiForumsI'm COMING from Africa.....