NN .see u r sick dude!!!
nani mmanga? mie msukuma...unabisha?Mchumba wa kimanga huyu naona anakuja lesi...nitamuibukia mimi huko Sharjah maana naona hao wamanga wenzake hawawezi shughuli....
Noname where u at?
nani mmanga? mie msukuma...unabisha?
bhebhe ngosha makoye gete...sikwambii
Compaq usishangae sana, watu wengi wako addicted na vitu tofauti hawajijui tu ( hata na wew waweza kuwa addicted)
lakini jamaa yako tayari yuko katika njia sahihi. kwa waliokuwa addcited na chochote kile cha kwanza ni ukubali kuwa wako addicted.
addiction ya porno si jambo geni sana kwa nchi za nje .....................sijui wanatibu vipi addiction hii, lkn nataraji watakuwa watu wenye ma experience yao watumwagie elimu
nani mmanga? mie msukuma...unabisha?
wabeja.... sasa unanikaribisha au unanitania? lol nakuja ila mie sili ila ugali na maziwa.....Mmmh, nahisi wewe ni ndugu yangu: maana wewe ni msukuma wakati mimi ni msumbo.... karibu nyumbani.
Just kidding. Wasukuma ni watani zangu.
Shukrani wote..nimeongea aneye jana church..I told him whatever u guys wrote! I really hope that things will go well with him..na mimi pia nimejifunza mengi!
B blessed...
huu msemo wa jisaidie kwanza ndio mungu atakusaidia unapotosha sana kiasi cha wengine kudhani imeandikwa ktk biblia.Ukimuachia Mungu yatamshinda? Na ni wapi Mungu kasema "hamsaidii mtu kama hajajisaidia"?
Nina rafiki yangu...more of a mentee lakini tumefahamiana kwa muda so we relate more as friends. Jana amenipa shock of the half-year! Ok, i'm not judging him but kwa kweli alinishtua..
aliniambia he is addicted to pornography..he can't stop, and he thinks he is sinking deeper! Nilishindwa cha kumwambia...
Nikatumia the little mentoring knowledge I have..kummuliza maswali ya self-discovery na kama kweli anataka kuacha..na akasema alipofika amechoka! hataki kuendelea..nikamwambia tu take it to the Lord in prayer...tukaomba wote na nikamuencourage kuwa he will get out..
Tatizo ni, I have never experienced such a thing, I don't know how to advice him more..I felt helpless tulipoachana!
Tafadhali, nisaidieni how to help him...how does one break out of this addiction?
Natanguliza shukrani...