I'm addicted! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I'm addicted!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mentor, Aug 7, 2010.

 1. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,660
  Likes Received: 8,212
  Trophy Points: 280
  Nina rafiki yangu...more of a mentee lakini tumefahamiana kwa muda so we relate more as friends. Jana amenipa shock of the half-year! Ok, i'm not judging him but kwa kweli alinishtua..
  aliniambia he is addicted to pornography..he can't stop, and he thinks he is sinking deeper! Nilishindwa cha kumwambia...
  Nikatumia the little mentoring knowledge I have..kummuliza maswali ya self-discovery na kama kweli anataka kuacha..na akasema alipofika amechoka! hataki kuendelea..nikamwambia tu take it to the Lord in prayer...tukaomba wote na nikamuencourage kuwa he will get out..
  Tatizo ni, I have never experienced such a thing, I don't know how to advice him more..I felt helpless tulipoachana!
  Tafadhali, nisaidieni how to help him...how does one break out of this addiction?
  Natanguliza shukrani...
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Compaq usishangae sana, watu wengi wako addicted na vitu tofauti hawajijui tu ( hata na wew waweza kuwa addicted)

  lakini jamaa yako tayari yuko katika njia sahihi. kwa waliokuwa addcited na chochote kile cha kwanza ni ukubali kuwa wako addicted.

  addiction ya porno si jambo geni sana kwa nchi za nje .....................sijui wanatibu vipi addiction hii, lkn nataraji watakuwa watu wenye ma experience yao watumwagie elimu
   
 3. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,660
  Likes Received: 8,212
  Trophy Points: 280
  Gaijin, thanx for the immediate reply!
  Sijui kama niko addicted na chochote kwa kweli..so far!!!
  Nilishtushwa kwa sababu ya mambo mengi...huyu kijana ni mtu ambaye usingetegemea awe mtu wa hivyo..on the outside he has a reputation, anaonekana mtu wa heshima zake..even ladies admire him so much! Amekuzwa katika familia ya kikristo na hata yeye mwenyewe anaonekana kuwa na msimamo flani kwa mambo ya dunia...even towards ladies! Ni kwa sababu hiyo nilishtuka sana aliponiambia hivyo..
  Anyway then at least amefika stage ya kwanza; acknowledging he has a problem!
  Na i really hope ataweza kuendelea mpaka kuacha kabisa..Hopefully!
  Thanx again!
   
 4. Tindikali

  Tindikali JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 765
  Likes Received: 550
  Trophy Points: 180
  Si umeshapeleka matatizo yako kwa "Lord in prayer," haitoshi?
   
 5. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wako wengine wako addicted na punye** nk
  Hata kusali sana ni addiction! Kuna kitu ambacho uko addicted nacho ila wewe hujui! Once utakapoona kinazidi then you come to realize that you are addicted in that thing!
  The guy have come to realize that and thats why he now confessed to you! Endele kumshauri na atafanikiwa kuach tu! Ombeni Mungu awatangulie.
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  jamani tuwe wakweli ...............Mungu hamsidii mtu kama hajajisaidia.


  Muhimu kutafuta njia za kutatua tatizo sio kumuachia Mungu tu.
   
 7. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,660
  Likes Received: 8,212
  Trophy Points: 280
  Eeka Mangi..i did some counselling classes some time ago..na nilijifunza maana halisi ya addiction.
  Addiction ni any harmful/unhealthy behaviour of feeling that you can't do without something (what you are addicted to)!
  So sidhani kama kusali sana ni addiction...shukrani, na samahani kama nimekukwaza.
   
 8. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,796
  Likes Received: 20,746
  Trophy Points: 280
  porno anaangalia thru magazine,dvd,internet,tv.......hatua ya kwanza ni kutupa dvd,magazine zote za pornographic nature.....aache kuangalia porn online....
  Kumbuka hata afanyiwe councilling ya aina gani kuacha addiction MOSTLY DEPEND ON YOUR WILL POWER.
   
 9. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  PRONDO inategemea will power lakini hapo ndo kwenye tatizo .....................kawaida ukishakuwa addicted ku control will power yako unakuwa huwezi by yourself.........unahitaji msaada wa kimawazo na kimsukumo.

  kumwambia tu nenda kachome moto sijui katupe kila cha porno hujamsaidia kwa sababu will power yake haitamruhusu..............atavitupa leo, lakini kesho atanunua tena.
   
 10. paradox

  paradox Senior Member

  #10
  Aug 7, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  In my opinion this is just dumb, really now who hasn't watched porn before? Especially people with access to the internet??
  Getting addicted to it is a problem but I don't think it is that big of a deal, tell him to go and get laid, most guys who watch too much porn are just shy and insecure, if they get a good lay with a hot girl they tend to stop watching porn since they learn the pleasures of the 'real' deal lol
  Prayer won't help you, heck if praying solved any problems at all then the world would be a utopia right now, kamtafutie demu wakumridhisha ataacha hiyo tabia.
   
 11. Tindikali

  Tindikali JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 765
  Likes Received: 550
  Trophy Points: 180
  Ukimuachia Mungu yatamshinda? Na ni wapi Mungu kasema "hamsaidii mtu kama hajajisaidia"?
   
 12. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mimi nipo addicted na jamii forums. Hakuna siku inakatika bila kuchungulia kinachoendelea huku. So addiction zipo nyingi. Na kama haimpi madhara yoyote, hakuna mbaya. Yeye aangalie tu, utafika wakati zitamchosha, na ataziona za kawaida. Anaweza kuacha atakapooa.
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Aug 7, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa nini mnamwita huyo jamaa P-RONDO wakati mimi nasoma jina lake kama R-RONDO?
   
 14. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  NN u r addicted to what?
   
 15. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kama si macho basi akili yangu ina makengeza!

  Sitarudia tena NN kumradhi
   
 16. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,796
  Likes Received: 20,746
  Trophy Points: 280
  ni RRONDO....... nimekuelewa....ila kutupa magazine,dvds ambazo ziko chumbani/lounge ni hatua ya mwanzo.ukiwa navyo hivyo vitu at arms length ni rahisi sana kuvitumia kuliko vikiwa mbali.....let say amejizuia mchana kutwa kuangalia porn material then saa 3 usiku uzalendo umemshinda kama anazo hizo dvd ataanza kuangalia lkn kama hana na muda huo hataweza kutoka akanunue au ku-rent....hapo amefanikiwa one day without porn.huwezi kuacha kuvuta sigara halafu ziko mfukoni.hii ni hatua ya mwanzo kabisa....nyingine awaone wataalam ila wataanza nae kama nilivyosema.
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Aug 7, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
 18. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #18
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,796
  Likes Received: 20,746
  Trophy Points: 280
  kwa sababu wewe unajua maana yake....lakini wengine hawajui maana yake na mbaya zaidi hawajali hata kusoma vizuri......
   
 19. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #19
  Aug 7, 2010
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,125
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Aug 7, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Mchumba wa kimanga huyu naona anakuja lesi...nitamuibukia mimi huko Sharjah maana naona hao wamanga wenzake hawawezi shughuli....

  Noname where u at?
   
Loading...