I'm addicted to "BEKI TATU"

Mwanakili90

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,568
245
Cjui hata nianzie wapi,
Tokea form1 nyumbani tumepokea wafanyakazi wa ndani tofautitofauti,

Mpaka sasa wanazidi kumi na tatu(13),na wote nimekua nikiwalala,tukiacha wengine wamajirani.

Na kila nikiwatongoza hua hawakatai.cjui hata nifanyaje mana hata familia yangu nahis imeshagundua tabia yangu.
 
Tatizo la hawa viumbe sometimes mnakula nyumba nzima bila kujijua kuanzia baba, wewe, mkatamajani, muuza njegere,muuza urembo na hata mgeni anayekuja kuwatembelea/kuishi na ninyi hapo home. Kumbukeni kondom otherwise mtaondoka kwa mstari.
 
Sasa mkuu wewe mwenyewe umezaliwa mkoani kilimanjaro mwaka 1990, form one ulikuwa kati ya 2004 na 2005 ukaanza form one kwa hesabu hizo sasa hivi utakuwa form 4 umemaliza 2007 au 2008. btn form 1 na sasa kuna miaka 6 au 7 na mmeshakuwa na mabeki tatu 13 wastani wa beki tatu mbili kwa kila mwaka. Kama hali yenyewe ndio hiyo mabeki tatu wenu woooote mnaowapa kazi za ndani huwa ni vicheche na ndio maana hawadumu kazini unless story yako uwe umeitunga kujifurahisha na wenzio kama Eng. Burton A. Bukuku‎, alivyo sema kwenye hoja yake mapema leo hii.
 
Tatizo la hawa viumbe sometimes mnakula nyumba nzima bila kujijua kuanzia baba, wewe, mkatamajani, muuza njegere,muuza urembo na hata mgeni anayekuja kuwatembelea/kuishi na ninyi hapo home. Kumbukeni kondom otherwise mtaondoka kwa mstari.
reminds me one family beki 3 alibeba ujauzito na hakujua wa nani kwani father haus na vijana wake 2 kwa nyakati tofaut walikuwa wanabanjua! Ilibidi asubiriwe ajifungue then...!
 
ni sawa lakin c vzr kujifanya mzee wa takwimu,kuprove me wrng katika jambo la kwel? Nitaidiliti kwa heshma yako ila uwe unapima na wewe unachoandika.
 
In btn mleta hoja ameleta hoja yake kudhalilisha wanawake hana jipya! maneno kama
Jamani sio kila kichaka mnavua chupi ........mkoje lakini?

Ni udhalilisha wa wanawake wote na sio hao mabeki tatu peke yao. Wanawake wa JF waneume wenye kupinga vitendo vibaya na sifa mbaya dhidi ya dada zetu, shangazi, zetu na mama zetu tupinginge hoja kama hizi na nyingine zenye mwelekeo kama huu.
 
ni sawa lakin c vzr kujifanya mzee wa takwimu,kuprove me wrng katika jambo la kwel? Nitaidiliti kwa heshma yako ila uwe unapima na wewe unachoandika.

Mkuu kama utai delete idelete kwa heshima ya "mama" awe wa mwenzio au awe wako sio kwa heshima yangu. Na nakushauri kuwa na heshima kwa wanawake kwani wao ndio wazazi wetu na si vema kuleta habari za kudhalilisha utu wa mwanamke.
 
we sokomoko tatizo kwani ni nini?

wapi nimemtusi mwanamke?
Jus be fair bro! Tuache mambo za ajabu arifu!
 
Mbona sio ushujaa dealing with easy targets?? haya bwana kula jiwe kwenye wali ni bahati mbaya ila chuya ni uzembe!
 
Cjui hata nianzie wapi,
Tokea form1 nyumbani tumepokea wafanyakazi wa ndani tofautitofauti,

Mpaka sasa wanazidi kumi na tatu(13),na wote nimekua nikiwalala,tukiacha wengine wamajirani.

Na kila nikiwatongoza hua hawakatai.cjui hata nifanyaje mana hata familia yangu nahis imeshagundua tabia yangu.

Hivi hawa kuna cha kutongoza? Maana usije ukawa unajiona unajua kutongoza...
 
ya beki tatu, ikatokea bahati mbaya baba mwenye nyumba alifariki kwa ugonjwa wa kisasa, beki tatu alionekana anakalia kuliko hata mama mwenye mume, alipoitwa chemba akasema 'nina uchungu sana kwani hata kaka atakufa kama baba kwa kuwa wote nilitembea nao' mama pressure juu, kaponea hosp....... story fupi ila ya ukweli.
 
sawa umekula beki tatu wenu wote...sasa sie hili linatuhusu vipi.
hizi ni sifa za kijinga.
 
rejeo,nani kakwambia beki tatu ni mteremko?

Wengi hawakatai ila wengine wanamsimamo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom