nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
Nadhani inabidi wana harakati wawape elimu hawa madada si ya kudai maslahi yao tu, na jinsi ya kuishi na wanaume wasiojua kufunga zipu. They are innocent. Na wakisema washtaki kwa wamama wenye nyumba kuwa wametakwa na waume zao au watoto wao in most cases wana end up kufutwa kazi kabisa. Umasikini ni kitu kibaya sana. Yani wanageuzwa sex slaves na mikazi juu kulala saa sita usiku, kuamka saa kumi na moja asubuhi. Bado uhudumie wanaume wote ndani ya familia tena bila hata malipo bora wangekuwa sex workers tungesema ni biashara wanatembea nao hata ela ya kufuli hawawapi. Ndio maana nauliza hawa the so called viti maalumu wana fanya nini bungeni!!!! Kwa nini awasimamii vitu kama hivi jamani. Ingetungwa sheria mianamume ya namna hii isweke ndani kama wabakaji tu. Kwani in most cases these girls are under 18.