I'm a New member. Habari zenu wenyeji!!

Edgar011

Senior Member
Aug 4, 2011
108
60
Nimesikia mengi kuhusu jf. Nadhani huu ni mda wangu muafaka kujikita ktk mijadala mizito na kutoa coments zangu. Nategemea kufurahia na kujifunza mengi pia. Ahsanteni na naomba mnpokee. NAWASILISHA HOJA!

Hivi members nielewesheni,hii jf inaongozwa na chama chochote? Nisije nikatoa mada ngumu halafu chama husika kikanitafuta kini ditopile! Mana nina sanduku la hoja nzito,

hebu lete dondoo ili tuone kama wataziditopile

Hivi members nielewesheni,hii jf inaongozwa na chama chochote? Nisije nikatoa mada ngumu halafu chama husika kikanitafuta kini ditopile! Mana nina sanduku la hoja nzito,

Jf siyo chama cha siasa wala haiongozwi na chama chechote cha siasa, bali wanajumuia wake ndiyo wanavyama vyao vya siasa wavijuwavyo wenyewe. mpaka hapo umeelewa mkuu??!!

Nimesikia mengi kuhusu jf. Nadhani huu ni mda wangu muafaka kujikita ktk mijadala mizito na kutoa coments zangu. Nategemea kufurahia na kujifunza mengi pia. Ahsanteni na naomba mnpokee. NAWASILISHA HOJA!

Karibu mkuu uweze kui practice demokrasia yako, usijali kama utaongea pumba au mchele, wewe ongea lako bila kuvunja amani!
KARIBU MNO!

Nimesikia mengi kuhusu jf. Nadhani huu ni mda wangu muafaka kujikita ktk mijadala mizito na kutoa coments zangu. Nategemea kufurahia na kujifunza mengi pia. Ahsanteni na naomba mnpokee. NAWASILISHA HOJA!

Karibu sana njoo na hoja zenye tija, unafiki na thread zisizo na maana hazitakiwi

Nimesikia mengi kuhusu jf. Nadhani huu ni mda wangu muafaka kujikita ktk mijadala mizito na kutoa coments zangu. Nategemea kufurahia na kujifunza mengi pia. Ahsanteni na naomba mnpokee. NAWASILISHA HOJA!

ulickia yepi kuhusu jf? Yaweke hapa tuyadadavue sio kuongea ambiguities!

Aisee kwa jinsi tu mlivyonipokea nimeamini kweli vijana damu yenu bado ya moto. Anyway,tutazidi kupashana kwenye posts!!

Karibu sn mkuu,ila unaonekana una mbwembwe sn au upo karibu na ridhiwan jk nn?

ha ha ha! Mtoto wa mdogo wako si ni mwanao? Inawezekana pia!! Usijali,humu undugu pembeni. Swala ni hoja tu na sio mbwembwe kama unavyodhani.

Jf siyo chama cha siasa wala haiongozwi na chama chechote cha siasa, bali wanajumuia wake ndiyo wanavyama vyao vya siasa wavijuwavyo wenyewe. mpaka hapo umeelewa mkuu??!!

Nimekuelewa kabisa,ni vyema nimepata angalizo mapema. Ahsante sana!

ulickia yepi kuhusu jf? Yaweke hapa tuyadadavue sio kuongea ambiguities!

Aisee,utayadadavuaje bwana mazuri? Point ni kwamba kabla sijawa member wa jf nilisikia ina members wenye points za msingi. Hiyo tayari ni sifa yenye sifa za kusifiwa na sio suala la ambiguity.

Back
Top Bottom