I'm a new here

I'm a new here

huhuhuuuuu nyie changanyeni mafaili me nawaona tu
 
Better yet, is any of that necessary?
Newbie, just post and comment like any other its a free forum.
And since the names are build for anonymity, nobody gives a .... about who u r.

wewe mbaya ningejua kiinglish kama ww ninge umiza watu humu.
 
Duh! ile dhana ya kujifunza baiskeli ukianguka ndo umejua ni tofauti na hii lugha iliokuja na meli maana unaweza kutukana au kushtakiwa kwa kuwavunja watu mbavu.
Kuna siku nilisema huwa tunaongea cha kuelewana wenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom