habari ndg wa jf..nimatumaini yangu mko salama nami pia niko vzr kiafya japo kimawazo nikizungumkuti...
nihitaji kutoa historia fupi ya maisha yangu inayonifanya nijione tayari mm ni looser..
wazazi wangu waliachana nikiwa na umri wa miaka minne mwaka 1985...tangu kipindi hicho baba hakuwahi kuoa so niliishi nae japo kwa mahangaiko makubwa kwani alikuwa mtu wa urabu..hivyo mara nyingi nilijikuta naishi kwa majirani...masimango ..kudhalauliwa...mashaka vilikuwa sehemu ya maisha yangu...
mwaka 1997 nikahitimu shule ya msingi nikaamua kwenda mjini mwaka 1999 kutafuta...huko nikawa machinga...lakin hamu yangu kubwa ilikuwa nikusoma secondari...basi mungu saidia mwaka 2000 ndg wa baba akakutana na mama yangu huku mjin ikabidi amlete nilipokuwa naishi ukawa mwanzo wa kunfahamu
bahati mbaya mama nae alikuwa ametengana tena na mwanaume aliyekuwa amemuoa baada ya kutengana na baba so akawa anaendesha kesi ya kugawana mali walizochuma ..hakuweza kunipeleka shule japo aliniahidi akipata mgao wake angenipeleka shule....
mwaka 2005 akibidi ajitahidi niende shule japo kesi yake ilikuwa haijaisha ....so akawa barmaid ..iliniuma sana japo sikua na jinsi
mwaka 2015 nikahitimu shada ya elimu uwalimu wa arts ...bahati mbaya sana mama akafaliki nikiwa mwaka watatu semister ya mwisho...
ile kesi alikuwa anashinda lakni nguvu ya pesa ilitawala hivyo yule jamaa alikuwa anakata rufaa kila aliposhindwa..hadi mama anafaliki kesi ilikuwa mahakama kuu....
ilibidi nitafute ushauri wa kisheria hatimae nikasimama mahakamani kudai haki ya mama ..nashukuru mungu na huu utawala wakawa wamenikabidhi hiyo nyumba
ila tatzo nililo nalo ni hofu ya maisha kwani sijapata kazi..pili umri umesonga 36yrs sina mke wala mtoto..sina kaka wala dada...yaniii nahisi tayari i'm looser....
nafikilia niiuze hii nyumba ili nijipange na maisha ya kifamilia...je una ushauri wowote kwa hili? aksanteni kwa kusoma japo ndefu
Sent using Jamii Forums mobile app