Mkuu kuwa mwangalifu sana na be careful on what you wish. Nimeona waliofuatilia ha kuamini haya mambo ya secret societies, na believe me or not, akili zao zimekwenda ulimwengu mwingine na ni ngumu kuwabadilisha tena. Kuwa makini sana kwani hata your faith may be tested na uka-fall in that trap!