Illegal Education | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Illegal Education

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MaxShimba, Apr 19, 2009.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  If their paying for it with their own cash I don't see a problem with it, especially if they're learning English at college. Public school is different because it's almost solely funded by US tax dollars. It's not like my community college is packed, why not have the extra revenue?

   
 3. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Maxshimba, hiyo sheria, kama ulifungua na kusoma hizo link ulizotupa mwenyewe, inahusiana na shule za umma tu. Na kama unavyojua, kama ulivyosema mwenyewe, shule za umma, kikiwemo chuo chako cha Jamii, MMC, zinabebwa na kodi zao, wananchi.

  "No alien unlawfully present in the United States shall receive any state or local public benefit.

  At the time of application for any state or local public benefit, an applicant shall provide affirmative proof that the applicant is a citizen or a permanent resident of the United States or is lawfully present in the United States, provided, however, that in the case of state grants and scholarships, such proof shall be provided before the applicant receives any state grant or scholarship."

  The Illegal Aliens and Immigration Status Verification Act.
  Missouri House Bill 1549, Section 208.009. 1.
  Effective January 1, 2009.
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Nchi ya watu, hakuna dezo. Lakini kwanini wasichukuwe wanao weza kujilipia?

   
 5. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu hata ukijilipia, tayari shule ya umma iko subsidized na kodi ya Wananchi.

  Hao wanaokataliwa hapo sio kwamba wanalipiwa. Wanajilipia wenyewe lakini viwango vya ada viko subsidized na kodi, kwa maneno mengine, huwezi ukajilipia kila kitu, unless useme unataka international student fee structure, at which point ndio unaibua sasa mambo ya I-20, na SEVIS verification, na I-94 Arrival-Departure Record na uliingia lini na meli gani, and all that good stuff. Yuck.

  Lakini uzuri na neema ya US, ni upana wa wigo wa milango ya fursa hizi. Hivi tunavyoongelea hiyo sheria mpya ya Missouri, kuna majimbo mengine yako hatua za mwisho kupitisha the polar opposite of that bill. Governor Corzine ame sapoti legislation in Trenton itakayoruhusu binadamu haramu walipe ada ya ndani ya jimbo.

  Hiyo legislation ikipita, itapunguza momentum ya majimbo kupitisha hizi sheria, manake saa nyingine huwa zinakuwa zinaunga tela with each other, kama momentum ya uhalalishaji wa ndoa za kisagaji na kishoga inavyofagia across the country, almost unstopably.
   
Loading...