Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,547
- 56,516
Hivi Ameir na wewe uliposti ujinga miaka hiyo?Nataka nikaedit Muda katika post zangu za juzi huko Twitter na Mimi zionekane za zamani.
Hivi Ameir na wewe uliposti ujinga miaka hiyo?Nataka nikaedit Muda katika post zangu za juzi huko Twitter na Mimi zionekane za zamani.
Kesi ya uhaini inakungojaBana ni yeyee
Binadamu na mawazo yao, anamuogopa binadamu mwenzie kuliko anavyomuogopa Muumba wake. Ukweli anaujua mhusika, na muumba wake, awe kafanya au hakufanya!Katika mitandao ya Kijamii ikiwemo Instagram baadhi ya watu wameanza kuikanusha iliyokuwa account ya X ya Abdul, kwa kuandika vitu sawa mfano ni ZUNGU na Middle Simba wamekopi na kupesti.
Je ni taarifa waliyopewa na mhusika ili wafanye hivi?
"Taarifa hizi zinazosambazwa X zinalenga uchafuzi wa haiba ya mtu.
Kupitia Mitandao ya Kijamii hasa Mtandao wa X (zamani Twitter) baadhi ya Watu wakiwepo wanaojiita Wanaharakati wameonekana wakisambaza picha zenye mfumo wa “screenshot” kumuhusisha ndugu Abdul Ameir Wakimuhusisha na vitendo vya uvunjifu wa maadili na kutumia Lugha chafu kuandika jumbe mbalimbali, taarifa ambazo ni wazi zinalenga kupotosha umma.
Wanaosambaza upotoshaji huo asilimia kubwa ni wale ambao wamekuwa wakiipinga Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo wanafanya hivyo wakiwa na lengo la kuichafua Serikali kutokana na kuhusisha taarifa hizo na mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan".
Pia Soma: Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter
View attachment 3499723
View attachment 3499724
Hilo jina Kaka unataka kunishikisha lawama mbona. Nna post Moja tu Msuya. Mtaani Watu wana-niangalia vibaya eti Mzanzibar yule tunamjua ...... Wabongo sio kabisaHivi Ameir na wewe uliposti ujinga miaka hiyo?
Ngoja nikacheki fb timeline yako kuanzia 2012-2014Hilo jina Kaka unataka kunishikisha lawama mbona. Nna post Moja tu Msuya. Mtaani Watu wana-niangalia vibaya eti Mzanzibar yule tunamjua ...... Wabongo sio kabisa
Nafikiri kumchukia tu haitoshi...huyu tukicheza watakufa wengi zaidi ..nawaambia ukweli huyu ni mhuni naHuyu jamaa anachukiwa kuliko shetani.
Kusema kuwa ni shoga they just want the public to know the truth about him, are you feeling some pain in your but-hole just because of that?wanaharakati wanasambaza habari za kuwa abduli ni shoga, lakini wanaharakati haohao wanapigania haki za mashoga. Jamaa hawaeleweki kabisa
Utakutana na post za mipira na mabunduki tu.Ngoja nikacheki fb timeline yako kuanzia 2012-2014
Eti anachukiwa kwa sababu ni muislam anavaa ushungi (blander).Ulitaka wakubali? Kiujumla familia nzima ni laana tupu
Mi nlijichanganyaga nikiwa secondary nilipost picha fb nipo na demu nliekua nae darasa moja academic master aliona aisee nlichezea mikwaju sijawahi post tenaUtakutana na post za mipira na mabunduki tu.
Likizo zinaponzaga Sana watu wenye marafiki walimu. Ticha anakutunzia tu, mtiti ukifika skuli anakusogezea file😂😂Mi nlijichanganyaga nikiwa secondary nilipost picha fb nipo na demu nliekua nae darasa moja academic master aliona aisee nlichezea mikwaju sijawahi post tena
Mnatandikwa ww na kidemu chakoLikizo zinaponzaga Sana watu wenye marafiki walimu. Ticha anakutunzia tu, mtiti ukifika skuli anakusogezea file😂😂