Ni kuacha umbea tu ndilo jibu. Ukiambiwa unameza na kusonga mbeleUnaambiwa kitu kama unapewa umbea wa fulan halaf nawe ukamuambia fulan huyo ulomsimulia akaenda kumuelezea mhusika alokuwa akisemwa kwa stori huyo ,mhusika akaface alosimulia huo ubuyu ,nyie kukaa na ubuyu bila kuusema ni kazi nyie msiwe mnatuambia muwe mnabakia nayo moyoni
Nilisimuliwa kitu kuhusu ndugu yangu ,mi nikamuambia mama yetu,mama nae nikamuambia usiseme unyamaze yaan kaenda kusema kama yalivyo nilivyomsimulia nyiee [emoji2301][emoji2301][emoji2301][emoji2301]
Huwaga mnafanyaje ikitokea hivi yaan mtu ukimuambia usiseme ndio anaenda kusema [emoji24][emoji24][emoji24] nilijua mama atakaa kimya na nilimsisitiza kweli
Umbea huuu[emoji57][emoji57][emoji57]
Njoo ukae kwangu hadi noma iishe,
Basi nitakuwa nakuambia wewe si hutasema?Njoo ukae kwangu hadi noma iishe,
Ukiwa na Siri yako kaa nayo mwenyewe siyo we imekushinda had ukaenda kumsimulia mtu mwingine alafu eti ndo uumpe masharti asimwambie mwingine , kama kutokumwambia mwengine ni rahisi mbona we ilikushinda
Ndiyo mi sisem nmetunza Siri nyng sana kweny moyo Wang siku nkisema nizitoe itatokea civil warBasi nitakuwa nakuambia wewe si hutasema?
Ni wewe tu ukiona umeshindwa ktunza siri bila kumwambia mtu njoo niambie mm ntakutunziaSawa nitaanza kukuambia zote
Sawa hakikisha husemi kwa mtu yeyoteUIj
Ni kazi mno kila saa mdomo unawashaa [emoji23][emoji23][emoji23]ndio yamenikuta
πππππ nimecheka jamani eti unasikia kukabwa ,kila mda mdomo unataka kusema unatamani usimulie kila mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwanza unajiskia kukabwa flan mpaka unahiSi pumzi zinakata aisee hapana wacha nisutwe tu siwez kufa mim
Ndo ujirekebishe sasa. Sio kila unalosikia nawe unalipeleka sehemuSasa aloniambia ananilaumu naona aibu siku nyingine hatonisimulia kabisa