Ilishawahi kukutokea hii?

Kuna siku kuna demu nilimwambia kuhusu jamaa si akaenda kusema bhana na jamaa alisema nisiseme duh nilimaind Sana afu Yule demu namuuliza anacheka na yeye kuna vitu alisema kuhusu jamaa ikabidi na Mimi niseme

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii kitu hata wanaume mnashindwa eee 🫣
 
Jizime data kataaa katu katu hujasema. Hata ukikutanishwa na mama mruke futi Mia mbili hujamwambia, msamaha utamuomba baadae, kwanza si ulimwambia asiseme?! Atajieleza mwenyewe kaambiwa na nani Ila wewe kataaa[emoji1787]

Aloniambia nimekataa sijasema sasa hapa anakuja kesho lazima tuonane sijui nitamuambijaje nishaanza kutunga mambo ya kumuambia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila Mama zetu jamani...
Nakuelewa Mwanike...
 
Aloniambia nimekataa sijasema sasa hapa anakuja kesho lazima tuonane sijui nitamuambijaje nishaanza kutunga mambo ya kumuambia
Jikaze uso mkavu kataa hujasema, kisa cha kupata aibu ni nini?
Kama yeye lilimshinda kubaki nalo ndo alitegemea wewe utaweza, we mconfuse....!
 
Jikaze uso mkavu kataa hujasema, kisa cha kupata aibu ni nini?
Kama yeye lilimshinda kubaki nalo ndo alitegemea wewe utaweza, we mconfuse....!
Sawa nitajikaza ngoja ifike kesho
 
Mimi hadi matatizo yangu simwambii mama, Yani nikimsimulia tu nusu saa haiishi kaka zangu wananipigia[emoji1787]
Yaan sirudii kumuambia tena chochote nitakuwa naenda kusimulia choon kwangu
 
Kinachofuata ni msuto tu hamna namna nyingine
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila Mama zetu jamani...
Nakuelewa Mwanike...
Basi angekaa hata mwezi kama mim yeye siku moja tu nyie
 
Mimi hadi matatizo yangu simwambii mama, Yani nikimsimulia tu nusu saa haiishi kaka zangu wananipigia[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha kitu nimecheka vibaya....
Halafu ukimuuliza kwanini sasa amekuambia/ amewaambia anakujibu sioni cha kunyamaza hapo[emoji2]

Mama zetu Mungu awape tu Maisha marefu jamani
 
Pole sana
 
Kama namuona bi mkubwa kabla ya kuanza kuutoa ubuyu alianza hivi

"Nakuambia lakini usije kunitaja sitaki kusutwa na utu uzima huu sawa ?"

Au sio πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…