Ilishawahi kukuta hii? Je ulifanyaje?

Ilishawahi kukuta hii? Je ulifanyaje?

Babu sea

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
953
Reaction score
749
Kwa mfano ww uko kwenye group task namaanisha (kazi ya kundi) then mkakubaliana na wenzako mkutane sehemu (x) kwa ajili ya kufanya shuguli flan then ww ukiwa kama mmoja wa watu ambao wangetakiwa kufika hukutokea je ulifanyaje kuwa pooza ili wakuelewe?
 
Nenda discussion katengeneze course work acha kutegea babuu
 
Dah! mi nilienda huku nikijifanya naumwa, yani wote wakaniambia pole jamani..... pole
 
tembeza mapenzi hata kama ni ya jinsia moja kitaeleweka tu!
 
Ukifika mwaga material hakuna atakae note hukuepo kama na material huna nenda na panadol kutwa mara tatu ukimeza wakuone
 
Kwa mfano ww uko kwenye group task namaanisha (kazi ya kundi) then mkakubaliana na wenzako mkutane sehemu (x) kwa ajili ya kufanya shuguli flan then ww ukiwa kama mmoja wa watu ambao wangetakiwa kufika hukutokea je ulifanyaje kuwa pooza ili wakuelewe?

Unataka sisi tukupe sababu za wewe kutohudhuria group discussion?
 
mtu kama wewe alikuaga anatoa ela ya kutype na kuprint hata kama kaptyp mtu wa group,haya andaa ela
 
Back
Top Bottom