kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,890
- 25,874
Mimi kuna binti nilimtongozaga akanikataa kwa dharau...imagine akaniambia eti your dental formula haijanivutia..kisa Nina tumeno twa kiarusha...maisha yamekwendaa Mara tumekutana tena...keshazalishwa na jamaa aliyemzalisha hana mpango nae...maisha yamemuia magumu sana...lakini mimi nimeonyesha tu binadamu..mwezi uliopita nimetoa nusu ya kamshahara kangu kumpa alipie kodi ya nyumba coz alikuja kunililia matatizo nikaingiwa na ubinadamu tuKuna faida sana mtoto wa kike ukitongozwa uwe mstaarabu, hata kama hutaki lakini tumia busara kukataa bila kumkashifu mwanaume, after all kutongozwa sio kutukanwa, sasa ngumi za nn? Matokeo yake ndio kama hivyo maisha hayana hatimiliki, leo upo juu kesho unakaliwa juu