RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 58,367
- 131,569
Hii kukutokea lazima upate Div 4 ya D mbili....Haijawahi kunitokea.
Hii kukutokea lazima upate Div 4 ya D mbili....Haijawahi kunitokea.
Na usiwasahau wale wachoyo wa majibu kwenye kudesa wengi maisha ya mtaani wameferi wanakutana na wamba tumepambana vilivyo bwana amejibu maombi sasa wanatunyenyekea.Yule aliyekuwa mshamba mshamba shule, hata yanayoendelea mjini hayajui, hajui mziki wala fasheni. Alikutongoza ukamjibu kwa dharau kuwa ajiangalie kwanza kabla hajafungua mdomo wake. Form four alipata divisheni one, wakati wewe ulipata four ya D mbili.
Sasa juzi mmekutana mjini anaendesha gari matata sana, yeye anakukumbuka na anakuuliza unaelekea wapi. Unatamani kuwa mke wake kwa sasa lakini hili haliwezekani tena.
Dunia ni duara ni milima tu huwa haikutani.
Oooooh!!Hii kukutokea lazima upate Div 4 ya D mbili....
Mmh mmoja alikuwa brother kweli shule, juzi nimekutana nae akiwa mlinzi wa bank flani hivi hapa mjini.


Eeh ushamsahau yule boya ulomkataaga, siku hizi ni DCHaijawahi kunitokea.

Eti eeh!!Eeh ushamsahau yule boya ulomkataaga, siku hizi ni DC![]()
![]()
Tena wale masista do wanaoweza kuimba nyimbo za Celine Dion, Maria Carey nk kwa kizungu mwanzo mwisho, sisi tulikuwa tunawaangalia tu enzi hizo coz tulikuwa washamba kweli.😀😀 Si kweli, hizo ni za ma sister do
Mkuu wana mambo mengi bado hawajapanga club anakwenda na James au Omary.Tena wale masista do wanaoweza kuimba nyimbo za Celine Dion, Maria Carey nk kwa kizungu mwanzo mwisho, sisi tulikuwa tunawaangalia tu enzi hizo coz tulikuwa washamba kweli.
maisha hayana adabu kabisa..bora mimi sikua na makuu enzi za shule.Mmh mmoja alikuwa brother kweli shule, juzi nimekutana nae akiwa mlinzi wa bank flani hivi hapa mjini.
Kuna kaka mmoja alikuwa ametoka kwenye familia duni alikuwa anaenda shule bila viatu miguu imeliwa na funza kwa ufupi maisha yaligoma kabisa lakini alisoma kwa bidii sana leo ni chief Accountant wa kampuni moja ukimuona utasema amezaliwa upya ana maisha mazuri sana sana tena sana. Mungu hamtupi mja wake!Yule aliyekuwa mshamba mshamba shule, hata yanayoendelea mjini hayajui, hajui mziki wala fasheni. Alikutongoza ukamjibu kwa dharau kuwa ajiangalie kwanza kabla hajafungua mdomo wake.
Form four alipata divisheni one, wakati wewe ulipata four ya D mbili.
Sasa juzi mmekutana mjini anaendesha gari matata sana, yeye anakukumbuka na anakuuliza unaelekea wapi. Unatamani kuwa mke wake kwa sasa lakini hili haliwezekani tena.
Dunia ni duara ni milima tu huwa haikutani.
Na Mungu anajua kuumbua wachekaji wa hali za wenzaoKuna kaka mmoja alikuwa ametoka kwenye familia duni alikuwa anaenda shule bila viatu miguu imeliwa na funza kwa ufupi maisha yaligoma kabisa lakini alisoma kwa bidii sana leo ni chief Accountant wa kampuni moja ukimuona utasema amezaliwa upya ana maisha mazuri sana sana tena sana. Mungu hamtupi mja wake!