Ilishakutokea hii?

Ilishakutokea hii?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,380
Yule aliyekuwa mshamba mshamba shule, hata yanayoendelea mjini hayajui, hajui mziki wala fasheni. Alikutongoza ukamjibu kwa dharau kuwa ajiangalie kwanza kabla hajafungua mdomo wake.

Form four alipata divisheni one, wakati wewe ulipata four ya D mbili.

Sasa juzi mmekutana mjini anaendesha gari matata sana, yeye anakukumbuka na anakuuliza unaelekea wapi. Unatamani kuwa mke wake kwa sasa lakini hili haliwezekani tena.

Dunia ni duara ni milima tu huwa haikutani.
 
Mwambie tu SE ulipomkataa ulikuwa ni utoto tu wa kutojua penzi ni kitu gani lakini uko tayari kumkubali kwa sasa 😛😛😛

Yule aliyekuwa mshamba mshamba shule, hata yanayoendelea mjini hayajui, hajui mziki wala fasheni. Alikutongoza ukamjibu kwa dharau kuwa ajiangalie kwanza kabla hajafungua mdomo kwako. Form four alipata divisheni one, wakati wewe ulipata four ya D mbili.

Sasa juzi mmekutana mjini anaendesha gari matata sana, yeye anakukumbuka na anakuuliza unaelekea wapi. Unatamani kuwa mke wake kwa sasa lakini hili haliwezekani tena.

Dunia ni duara ni milima tu huwa haikutani.
 
Huwezi jua labda bado yuko single. Ila umenikumbusha mabinti wawili waliotoka mkoani wakiwa washamba washamba. Jiji likawapenda wakaanza kunawiri na kupendeza kupita kiasi hata kuwa gumzo la shule kwa wavulana na wasichana.

Mhh mkuu BAK, moyo utakusuta mwenyewe.
 
Yule aliyekuwa mshamba mshamba shule, hata yanayoendelea mjini hayajui, hajui mziki wala fasheni. Alikutongoza ukamjibu kwa dharau kuwa ajiangalie kwanza kabla hajafungua mdomo wake. Form four alipata divisheni one, wakati wewe ulipata four ya D mbili.

Sasa juzi mmekutana mjini anaendesha gari matata sana, yeye anakukumbuka na anakuuliza unaelekea wapi. Unatamani kuwa mke wake kwa sasa lakini hili haliwezekani tena.

Dunia ni duara ni milima tu huwa haikutani.

Kumbe unakumbuka kabisa ulivyonitosa enzi zile Dada?
 
Yule aliyekuwa mshamba mshamba shule, hata yanayoendelea mjini hayajui, hajui mziki wala fasheni. Alikutongoza ukamjibu kwa dharau kuwa ajiangalie kwanza kabla hajafungua mdomo wake. Form four alipata divisheni one, wakati wewe ulipata four ya D mbili.

Sasa juzi mmekutana mjini anaendesha gari matata sana, yeye anakukumbuka na anakuuliza unaelekea wapi. Unatamani kuwa mke wake kwa sasa lakini hili haliwezekani tena.

Dunia ni duara ni milima tu huwa haikutani.
Challenge ya kwanza kukiri ulipata div 4 ya D mbili. Silioni hilo likitokea!
 
Back
Top Bottom