Ilimtoka povu dkt. Asharose Migiro alipotembelea mkoani Njombe

Hili ndo tatizo letu, viongozi karibia wote wanaishi dar! hata makao makuu yameshindikana kuhamishwa kupelekwa dodoma.
 
Bora hayo magari yangetumbukia katika mto na hao majogoo yote yafe. Miaka zaidi ya 50 CCM kushika hatamu, wameshindwa kujenga barabara, Hilo kipara linatafuta tembo, hakuna kuimarisha chama hapo
 
QUOTE=pcm;8030034]NINAVYOMFAHAMU ZITTO ZUBER KABWE
-KILIO CHA USALITI (Sehemu ya Jina Langu ni MTELA ALLAM MWAMPAMBA mwanachama mchanga wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),

Nikiwa ni Mwanachama wa CCM, nimeapa kwa Imani ya Chama Changu kuwa NITASEMA KWELI DAIMA NA FITINA KWANGU MWIKO. Kiapo hiki ni ndani ya Chama Changu, Serikali yangu na mbele ya Jamii yangu.

Kwa kuwa LENGO langu si KUFITINISHA wala KUJIHUSISHA NA CHAMA CHAKE, Nitabainisha (kwa Ufupi) namna ninavyomfahamu ZITTO ZUBER KABWE, tena ikibidi nitabainisha kinagaubaga na wazi wazi (kama italazimu kufanya Hivyo) kiasi Umma ubaini ni nani ZITTO ZUBER KABWE ndani ya Chama mjenzi, nguzo, mhimili ama mhujumu chama. Nafanya hivyo kwa lengo la kutetea maslahi ya Kitaifa, maana watu hawa wanabeba nembo na sura ya Utaifa, na ni ubaya ulioje watu wasio na DHATI ya kiutawala kuaminiwa katika Utawala. Na kwa bahati mbaya katika taarifa hiyo nimetajwa tena kwa jina langu kamili, hivyo jukumu la kunyoosha maelezo ya ZITTO ni la msingi na lenye msukumo Binafsi (Si chama Changu kwa namna yeyote) Ni kwa

SEHEMU HII YA KWANZA: Nakubaliana kabisa na Zitto kuwa hakukuwa na kikao ambacho kilitukutanisha Sisi Wanne pamoja, pale LUNCH TIME,hayo ni ya mwandishi mwenyewe, maana Mimi si chanzo chake. Lakini hiyo hainamaanishi kwamba sisi hatukuwa tukikutana.

Kama pamoja na yote ambayo yaliyopita na yanayoendelea CHADEMA hadi hivi sasa bado yupo anayeamini maneno ya ZITTO kuwa hamfahamu BEN SAANANE na kuwa anaweza kupishana nae njiani bila kumtambua na aendelee kuamini hivyo lakini nasema hiyo ni too much of exaggeration on his expressions.

kuondoka kwangu na wengine ni kafara ya jambo hilo. Kuna mambo si sahihi kuyaeleza kiundani na hadharani kwasababu tuliambizana na kupanga kwa Usiri na Kuaminiana, hatujafikia hatua hiyo ya kuuvunja hata Uamini tuliopeana kwa Viapo ila kama tutaendelea na maneno ya namna hii na UZANDIKI,

Karata yako ya mwisho inayo-determine maisha yako kama mwanachadema iko mikononi mwetu, Please brother, Don’t mess with your last poker chip, will lose the game. Kauli yangu Moja ya Ushuhuda inamaliza Uhai wako ndani ya Chadema.,

Mwisho kabisa katika signature yako ya JF umetumia nukuu ya Mwalimu Nyerere kwenye kitabu chake cha TUJISAHIHISHE cha mwaka 1962 mwaka mmoja baada ya Uhuru, kuwa UKWELI haupendi kupuuzwa puuzwa, soma tena kitabu hicho upate hazina ya mawazo ya kiutawala na uondokane na UNAFSI kwa tafsir ya Mwalimu Nyerere ya neno hilo katika kitabu hicho.[/QUOTE]

HAPO MTU UTAONGEZA NINI ZAIDI!?

cc. Ritz, Faiza Mbwa, Chamviga, Taswira, Simiyu yetu, Chabruma, Sixgeto, Ze marcopolo, Tandaleone, Utaifakwanza a.k.a Juliana Shenzi, buku7fc Lumumba.
 
Angalau wamejionea aina ya maendeleo ambayo wanajivunia kwamba wamewaletea watanzania. Hakuna maendeleo mpaka CCM ing'oke madarakani.

Ndugu yangu hapo ndo walipotuhakikishia kusafiri kwa Bajaji toka Mtwara hadi Mwanza CCM bana Majanga Sasa hiyo bajaji ya kubeba wajawazito hapo itapitaje
 
Nimeipenda hii ya mganga wa nyoka kung'atwa mwenyewe. Hapo ndo watajua shida wanayopata wananchi na ni kila siku na kila mwaka tangu uhuru mpaka leo zaidi ya miaka 50.
 
NI kweli hawakumbuki walikotoka, nikweli hawakumbuki wanachofanya, msamaha mara ngapi??? CCM OUT
 
QUOTE=pcm;8030034]NINAVYOMFAHAMU ZITTO ZUBER KABWE
-KILIO CHA USALITI (Sehemu ya Jina Langu ni MTELA ALLAM MWAMPAMBA mwanachama mchanga wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),

Nikiwa ni Mwanachama wa CCM, nimeapa kwa Imani ya Chama Changu kuwa NITASEMA KWELI DAIMA NA FITINA KWANGU MWIKO. Kiapo hiki ni ndani ya Chama Changu, Serikali yangu na mbele ya Jamii yangu.

Kwa kuwa LENGO langu si KUFITINISHA wala KUJIHUSISHA NA CHAMA CHAKE, Nitabainisha (kwa Ufupi) namna ninavyomfahamu ZITTO ZUBER KABWE, tena ikibidi nitabainisha kinagaubaga na wazi wazi (kama italazimu kufanya Hivyo) kiasi Umma ubaini ni nani ZITTO ZUBER KABWE ndani ya Chama mjenzi, nguzo, mhimili ama mhujumu chama. Nafanya hivyo kwa lengo la kutetea maslahi ya Kitaifa, maana watu hawa wanabeba nembo na sura ya Utaifa, na ni ubaya ulioje watu wasio na DHATI ya kiutawala kuaminiwa katika Utawala. Na kwa bahati mbaya katika taarifa hiyo nimetajwa tena kwa jina langu kamili, hivyo jukumu la kunyoosha maelezo ya ZITTO ni la msingi na lenye msukumo Binafsi (Si chama Changu kwa namna yeyote) Ni kwa

SEHEMU HII YA KWANZA: Nakubaliana kabisa na Zitto kuwa hakukuwa na kikao ambacho kilitukutanisha Sisi Wanne pamoja, pale LUNCH TIME,hayo ni ya mwandishi mwenyewe, maana Mimi si chanzo chake. Lakini hiyo hainamaanishi kwamba sisi hatukuwa tukikutana.

Kama pamoja na yote ambayo yaliyopita na yanayoendelea CHADEMA hadi hivi sasa bado yupo anayeamini maneno ya ZITTO kuwa hamfahamu BEN SAANANE na kuwa anaweza kupishana nae njiani bila kumtambua na aendelee kuamini hivyo lakini nasema hiyo ni too much of exaggeration on his expressions.

kuondoka kwangu na wengine ni kafara ya jambo hilo. Kuna mambo si sahihi kuyaeleza kiundani na hadharani kwasababu tuliambizana na kupanga kwa Usiri na Kuaminiana, hatujafikia hatua hiyo ya kuuvunja hata Uamini tuliopeana kwa Viapo ila kama tutaendelea na maneno ya namna hii na UZANDIKI,

Karata yako ya mwisho inayo-determine maisha yako kama mwanachadema iko mikononi mwetu, Please brother, Don’t mess with your last poker chip, will lose the game. Kauli yangu Moja ya Ushuhuda inamaliza Uhai wako ndani ya Chadema.,

Mwisho kabisa katika signature yako ya JF umetumia nukuu ya Mwalimu Nyerere kwenye kitabu chake cha TUJISAHIHISHE cha mwaka 1962 mwaka mmoja baada ya Uhuru, kuwa UKWELI haupendi kupuuzwa puuzwa, soma tena kitabu hicho upate hazina ya mawazo ya kiutawala na uondokane na UNAFSI kwa tafsir ya Mwalimu Nyerere ya neno hilo katika kitabu hicho.

HAPO MTU UTAONGEZA NINI ZAIDI!?

cc. Ritz, Faiza Mbwa, Chamviga, Taswira, Simiyu yetu, Chabruma, Sixgeto, Ze marcopolo, Tandaleone, Utaifakwanza a.k.a Juliana Shenzi, buku7fc Lumumba.[/QUOTE]

Nguruvi3 chukua hii iweke kule kwenye ile mada ya mgogoro upinzani.
 
Hivi matokeo kama haya mbona hayatangazwi kwenye TV na redio zetu kila mtu ajue hawa jamaa ni watu wa aina gani!
 
Mungu angempumzisha kwa Amani tu, tumechoshwa na haya ma mtu!
 
ningefurahi kama ningesikia kuwa Leo wamebatizwa lile jina la Ma.re.he.mu
 
Halafu gari zote ni za serikali. Ccm wanatumia tu kwa mgongo wa chama tawala.
 
Ndugu yangu hapo ndo walipotuhakikishia kusafiri kwa Bajaji toka Mtwara hadi Mwanza CCM bana Majanga Sasa hiyo bajaji ya kubeba wajawazito hapo itapitaje

Kuna usemi unaosema akutukanaye hakuchagulii tusi, yaani kwa ahadi hii ni kwamba wametuona wajinga kabisa na wanaweza kutukejeli na kututusi kadiri wawezavyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom