donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Maisha yetu hayaKweli
Sijui stairi hiyo tuite" weka mbali na watoto"Mmh inamaana hao ni mchanganyiko wa ke na me?
Ndoivo mkuuMmh inamaana hao ni mchanganyiko wa ke na me?
Unaeza kuta kodi ya chumba ni sh elfu kumi so kuminimize cost watu wanajichanga bukubuku jero jero wanalipia kodi ya mwezi af sana tu, kila mtu akiamka anaenda Fanya mishe zake kivyake #Uswazi.ComSijui stairi hiyo tuite" weka mbali na watoto"
Hiyo ni ubavu mmoko mkuu!Sasa hapo hata ukitaka kujinyoosha au kugeuka ni shida ,lazima asubuhi uamke mchovu sana
Huyu aliyevaa pensi mbona hajaweka mkono kama wengine
Kibisa huyuHuyu aliyevaa pensi mbona hajaweka mkono kama wengine
mweeehKhaaa!!
Kuna kufaidiana hapa
Hahaha labda aliwekaHuyu aliyevaa pensi mbona hajaweka mkono kama wengine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii ndio hali ya vijana wetu dodoma kuanzia juzi.
Hahaha, elaborate mkuuKuna kufaidiana hapa
Ndio mkuuKila MTU na wake