Nakumbuka wakati uko weruweru mi nilikuwa Moshi technical... ndo nilikuwa naanza kukutongoza.Umenikumbusha mbali sana Manet, jamaa alikuwa na talent, nikakumbuka sherehe ya kuadhimisha miaka kumi ya umoja wa Vijana ilifanyika Moshi, nilikuwa Weruweru basi tulipata bahati ya kukaa mbele, nilimuoana Manet kwa mara ya mwisho.
Mussa na Neema ndo walimaliza umaarufu wa kina Juma na Roza...Wakati vitabu vya Mr and Mrs Daudi vinaanza kuingia.
πNa mimi nilikuwa primary darasa la mbele yako kidogo...
Mie kweli nilikuwa bado kwenye viuno vya wazee kwakweliWengi humu hakuwepo duniani kipindi hicho.
Ni kweli mkuu..mimi kipindi hicho nilikuwaga nimeshakufa siku nyingi tu.!Wengi humu hakuwepo duniani kipindi hicho.
Ni kweli mkuu..mimi kipindi hicho nilikuwaga nimeshakufa siku nyingi tu.!Wengi humu hakuwepo duniani kipindi hicho.
View attachment 452280Miaka ileeee!!
Wasap yangu hujaiona auuNimekuja mbio kwenye huu uzi kwa kudhani huyu Mkuu amerudi jamvini kumbe ni uzi wa mwaka 47.
Mkuu utakuwa na hicho kitabu unisaidie....kitambo sana
Mzima kabisaaaNimeiona Sakayo mzima weye?
Kazi iko poa kabisa sema ubusy unazidi!Nafurahi kusikia hivyo. Vipi kazi leo?
Kazi iko poa kabisa sema ubusy unazidi!
Vipi wewe siku yako imeendaje kaka!
HahahaImeenda vizuri sana. Pole na ubusy kuongezeka. Kingunge weye na vigunge majukumu yao ni makubwa wakati mwingine huwafuata mpaka nyumbani.π
Sina mkuuMkuu utakuwa na hicho kitabu unisaidie....
Nimemiss story ya karume Kenge....
Hahaha
Asante mwaya, huo ukingunge ni vipi jamaniii!!