.Unakaa kimya tuli, kama vile hakuna kinachoendelea. Hii inaitwa: 'submissive type of conflict management'.
.sasa unataka ujitetee msg ya aina hii kwa ndugu yako?
Utaanzia wapi?
Unapomtumia baba sms ya hawara.
ukirudi lazima upewe talaka na mkeoSms kama hii,mlengwa hawara...unakosea yaenda kwa waif....
..."katoe hyo mimba "...
very clever!!asee achaaa nilikoseaa kwa hawara nikatuma kwa wife .....''vipi umetoka clinic?mtoto anakilo ngapi...ntatumaa jioni pesaaa"ikaendaa kwa wife cse nilikuwa na chat nao kwa pamojaa walahiiiii we wachaaaa,ileee msg imeenda ndo naonaa jina wife uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....nikauchunaaa kimyaaa.then baada ya kama nusu saaa nikatuma nyingine,nimetumia simu ya baba deo mi jimmy yangu imeisha charge jibu kwenye yangu.