Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
[emoji23] [emoji122] [emoji122]Mh...mkuu nakupa heshima...we ni wa zamani
[emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Heshima yako Mkuu.
[emoji12] [emoji122] [emoji122] [emoji122]duh. shikamo. i hope ushastaaf km ulikua serekalin.
Moshi kulikuwa na PLAZA na ABCMkuu umenikumbusha mbali, huku kwetu tulikuwa na Liberty cinema & Tivoli cinema .
Kupatikana hela sasa ni rahisi.ila haina thamani.ukibeba zege haukosi 15000.kwa siku ila matumizi sasa.tofauti na zaman pesa ilikuwa kupatikana ngumu ila ilikuwa na thamani.Kwani ya leo ni rahisi kupatikana?! . Hii ya leo imeshushwa na uchumi unaokuwa kisiasa na si kiuhalisia.
Nakumbuka miaka nikiwa shule ya msingi 1973 Mwl akinituma kumnunulia nyama buchani kilo shs 1.70 mchanganyiko na steki shs. 2.50, lakini leo shs 6000/= mpaka 9000/=.
Mwanza hiyo tulikuwa tunaenda kuokota magazeti ya kihindi yenye sura za mastaa ...tukayaita "makava"Mkuu umenikumbusha mbali, huku kwetu tulikuwa na Liberty cinema & Tivoli cinema .
Sasa kipi kizuri uwe na hela nyingi lakini haina value au uwe na pesa kidogo lakini yenye thamani ??!!. Kitu chochote kizuri ni chenye thamani .Kupatikana hela sasa ni rahisi.ila haina thamani.ukibeba zege haukosi 15000.kwa siku ila matumizi sasa.tofauti na zaman pesa ilikuwa kupatikana ngumu ila ilikuwa na thamani.
Bora zaman.Sasa kipi kizuri uwe na hela nyingi lakini haina value au uwe na pesa kidogo lakini yenye thamani ??!!. Kitu chochote kizuri ni chenye thamani .
Mwaka 1979 alioutaja mleta hoja ndiyo mambo yalianza kutuharibikia baada ya vita vya Kagera tulipoambiwa tufunge mikanda kwa miezi 18 lakini hali haikurekebika. Na ukumbuke na tuliingia vita baada tu EAC kuvunjika hivyo uchumi haukurekebika. Na hii ilipelekea pesa yetu kushuka kila wakati.
Nakumbuka miaka nikiwa shule ya msingi 1973 Mwl akinituma kumnunulia nyama buchani kilo shs 1.70 mchanganyiko na steki shs. 2.50, lakini leo shs 6000/= mpaka 9000/=.
[emoji122] [emoji122] [emoji120] [emoji120]Heshima yako Odhiambo cairo
Mwanza?Mkuu umenikumbusha mbali, huku kwetu tulikuwa na Liberty cinema & Tivoli cinema .