Ilianza kwa kujiita serikali ya Magufuli, baada ya kuboronga imekuwa serikali ya CCM

Baada ya uchaguzi mkuu 2015, tulikuwa na "serikali ya Magufuli". Hii ndyo ilikuwa kauli ya wanasiasa wengi upande wa CCM hasa wale waliokuwa wakijipendekeza kupata vyeo. Na aliyekuwa akiongoza kutoa hii kauli alikuwa ni Mkuu wa mkoa wa Dr ( jina lake sahihi sina uhakika nalo).

Hata magufuli mwenyewe aliita " Serikali yangu".

Hivi sasa hii kauli imegeuka na kuwa serikali ya CCM na si Ya Magufuli au Yangu.

Hii ni baada ya upepo au nguvu za soda kukata au maandalizi ya Uchaguzi 2020.

Naimani baada ya uchaguzi itakuwa tena serikali ya Magufuli na si ya CCM tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
garimoshi limepata pancha mkuu!!
 
Baada ya uchaguzi mkuu 2015, tulikuwa na "serikali ya Magufuli". Hii ndyo ilikuwa kauli ya wanasiasa wengi upande wa CCM hasa wale waliokuwa wakijipendekeza kupata vyeo. Na aliyekuwa akiongoza kutoa hii kauli alikuwa ni Mkuu wa mkoa wa Dr ( jina lake sahihi sina uhakika nalo).

Hata magufuli mwenyewe aliita " Serikali yangu".

Hivi sasa hii kauli imegeuka na kuwa serikali ya CCM na si Ya Magufuli au Yangu.

Hii ni baada ya upepo au nguvu za soda kukata au maandalizi ya Uchaguzi 2020.

2020 itakuwa serikali ya Wanyonge, baada ya uchaguzi itakuwa tena serikali ya Magufuli na si ya CCM .

Sent using Jamii Forums mobile app
Ambatanisha ushahidi mkuu
 
Hapana. kama mnakumbuka Mh Raisi alipokutana na viongozi wakuu wastaafu kero aliyotoa Mh Mkapa ilihusu kujitanabaisha "Serikali yangu, Serikali ya JPM badala ya Serikali ya CCM" ushauri wa Mkapa utakuwa umefanyiwa kazi

Ameona ina madudu hivyo anawarudishia CCM serikali yao,tutaona na kusikia mengi kabla 2020.Hakuna Cha viwanda,hivi Hawa watu wanafikiri hatukumbuki,hatusikii Wala kufikirika.
Dharau mbaya Sana kwa Watanzania.
 
Back
Top Bottom