Ili ufaninikiwe unahitajika kuwa na roho ngumu na mbaya

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Sep 20, 2020
1,636
3,806
Learning from my experience nimebaini kuwa watu wengi wenye maisha mazuri pesa za kutosha roho zao ni ngumu...

Sasa basi ili ufaninikiwe unahitajika kuwa katili haijalishi unafanya Nini..

Ushirikina unahitajika ukatili
Wizi ukatili
Na mengine mengi...

Kumbuka kufanikiwa sio rahisi thus is why duniani kote

1% ya watu tu ndio mabilionea wengine wote chini

Ndio maaana idadi ya wanaotumia public transport ni kubwa kuliko private transport

KOMAAAA
 
Mafanikio yapi kununua gari na nyumba au?
 
Mwendokasi kutoka Mbezi/kimara imeshona zaidi ya abilia 300! Alafu ukiangalia dirishani unamkuta mtu anendesha v8 mpya yuko peke yake! Tutafute hela!
 
Back
Top Bottom